Maskini CHADEMA, Hiyo Ndiyo Siasa

Maskini CHADEMA, Hiyo Ndiyo Siasa

Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakit
abiria hiki chama hakifika mwaka 2105
duuuu weweee hivii unaakili au umetumwaaa unasemaa mwaka 2105 weee mwenyewe utafikaaa mwambieee nepiii arudiii tenaaaa maaana naona ameshapotezaaa njiaaa
 
eeh! Hamlali kisa CHADEMA! Post ya saa tisa! Mwanga wewe, si bure.
Natoa somo ili wale wenye vichwa vyepesi waelewe; post 9 zinakushtu? Wengi mnabadili I'd lakini pumba ni zilezile!

Chama
Monga vyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

komoni plus vitumbua on work
 
I am among those average Tanzanians; I still have the faith with CCM; I never doubt the mechanism of our party the goal is make sure all Tanzanians benefit from our resources; under the leadership of chairman Kikwete I see the bright future ahead for all Tanzanins; aluta continua!!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
mapumzikoni Monga Vyeru

If you are an average Tanzanian then you can't be a rational and sane one, because no sensible average Tanzanian will have faith with ccm that is screwing them right, left and centre. For one to have faith with ccm he/she must be:
  1. Benefiting from the loss of the masses (caused by ccm's institutionalized theft and corruption)
AND/OR

  1. He is so ignorant to the point of being almost a f.o.o.l
 
Hivi ulishawahi kumuokoa mtu aliezama majini? Maana ukiingia kichwa kichwa unazama nae, ndio maana hawa jamaa wanaweweseka na jinsi upinzani unavyosonga mbele. Jamani magamba vumilieni mpewe dawa mnahaha nini? Vyama vingi mbona mlitaka wenyew? Vinginevyo katiba mpya pelekeni mapendekezo ili urudi mfumo wa zamani wa chama kimeshika hatamu. Vinginevyo vumilieni maana kutesa kwa zamu.
 
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.
Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

Hizo ndoto ndiyo zimesababisha kuingia kwa Muslim Brotherhood Egypt na Syria.Tawala za kijeshi za nchi hizi zilikandamiza Muslim Brotherhood kwa mda mrefu, wale jamaa wakaingia underground.Waarabu walipogundua kuwa adui wao mkubwa ni uoga wakaamua kuushinda uoga na sasa hivi munaona matokeo yake.Vyama vya National Democratic Party(Egypt) na Baath Party(Syria) vimekuwa historia.
Ushauri wangu chukueni kauli ya Bernard Membe aliyotoa kwenye mdahalo wa Uhuru pale Nkrumah hall,kuwa kushindanisha mawazo na itikadi sio dhambi ndiyo kichocheo cha jamii kuendelea.
 
Mkuu ilani gani tena wakati hilo ni tamko la Bavicha Mwanza.

Mkuu unatakiwa kusoma kutokea kushoto kwenda kulia na sio kulia kwenda kushoto. Pia unaposoma mind yako iwe focused kwenye point ili kujiepusha kujibu upu.pu kama huu niliouquote
 
Kuanguka kwa Chadema ni hitimisho tu; hao wanaojiita viongozi wapo kutetea maslahi yao kimaisha; chama hakipo kutetea watanzania kama wanavyojinadi; Mandela kuna wakati alipewa deal na serikali ya makaburu ya kuachiwa huru na kupewa maisha mazuri ili mradi tu asijihusishe na harakati za ukombozi; hao wapigania ukombozi wenu akina Slaa leo wanapigania maisha yao utapigania ukombozi ukiwa ndani ya V8 na kiyoyozi ndani? kama si kutaka kudanganya watu ni kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru

Kwa hiyo yale magari ya viongozi wa CCM ni maLandrover 109 yale ya kizamani na sio ma v8?
Kweli wewe ni mwanachama mtiifu sana hadi umekuwa kipofu. Hongera. Usikate tamaa anzisha tu mengine kuhusu CDM.
 
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

Huo mwaka mbona ni mbali sana hata wajukuu zako sio ajabu wakawa wameshakufa almost wote?
 
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

Utabiri wako hautatimia,fanya mpango wa kutabiri mambo makubwa ya kuineemesha Tanzania.

Ota serikali ya cdm inawaburuza mahakamani mafisadi walioshindikana katika serikali ya ccm.

Ota mabilioni yalichimbiwa uswizi na vigogo chini ya uangalizi wa ccm yarejeshwa nchini na serikali mpya ya cdm,wezi wote kuburuzwa kortini.

Ndoto izo ndizo za kuota na sii unyang'au wako unaoueneza.
 
Join Date : 28th April 2011
Posts : 985
Rep Power : 587
Likes Received207
Likes Given36

Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

hapo kwenye red mbona hayo maneno hayapo au ni mtandao mwingine?
 
Makamanda naona wanaelekea pabaya. Kule UK wamemfukuza Lukosi kisa kufanya biashara na Serikali. Kule Mwanza Bavicha wanamtaka Dr Slaa aachie ngazi kama atagoma wataiitisha maandamano nchi nzima.
mkuu bavicha mwanza hawana ubavu wa kumng'oa slaa,labda washinikize kulipwa na magamba pesa walizohaidiwa!
 
chadema ni mbwaaaamwitu wakulana wenyewe anayebakinadamu analiwa slaa andamu mdomoni ndiomaana wenzake wanmla sasa 2015 mali sana kwishne
 
If you are an average Tanzanian then you can't be a rational and sane one, because no sensible average Tanzanian will have faith with ccm that is screwing them right, left and centre. For one to have faith with ccm he/she must be:
  1. Benefiting from the loss of the masses (caused by ccm's institutionalized theft and corruption)
AND/OR

  1. He is so ignorant to the point of being almost a f.o.o.l
Like this 1 very much!
 
chadema ni mbwaaaamwitu wakulana wenyewe anayebakinadamu analiwa slaa andamu mdomoni ndiomaana wenzake wanmla sasa 2015 mali sana kwishne

Nape ndio nini hiki, ina maana mmeishiwa kiasi hiki hadi mna-recruit semi-illiterates kuwafanyia propaganda zenu????
 
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

wewe kwana shule huna na kama una vyeti vya kugushi halafu umelewa viroba. Then hujui hata shida moja iliyoko CCM, CDM imeifilisi CCM kesi hanabwagwa, ruzuku imepungua wizi wenu umezibitiwa so waulize maboss wako maumivu.
 
Back
Top Bottom