Recent content by thobyjr

  1. thobyjr

    JamiiForums Tanzania FURSA YA KAZI CHUO CHA OPEN UNIVERSITY KWA WALE WANAOPENDA KUFUNDISHA

    Nadhani mleta huu uzi n watu walivyolibeba neno "fursa" linaweza kuwa na utata. Mimi nigraduate wa The Open University na nishafanya hyo kazi ya teaching. Sio kwamba chuo kitakutafutia wanafunz wewe ndio utawajibika kuwatatfuta na niwachache sana wanaoweza kuafford kulipa hiyo gharama. Sababu...
  2. thobyjr

    JamiiForums Tanzania Je nitahitaji kujisajili tena Open University?

    Nenda Kwa director wa centre yako kama uliandikaga barua ya kuaibisha mwaka peleka nakala yake..Ila kuonana naye ninmuhimu hata kama hukuandika barua.
  3. thobyjr

    JamiiForums Tanzania Walimu kwanini mnawadhalilisha watoto?

    Kama wewe unayajua hayo maadili.usingediriki kutamka matusi.
  4. thobyjr

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Supermarket flower-Ed sheeran
  5. thobyjr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

    Tunaangalia Tako.
  6. thobyjr

    JamiiForums Tanzania Shule za Dar kushika mkia matokeo ya kidato cha Nne, Makonda jitafakari na ikiwezekana jiuzulu

    Lakini ninachotaka kujua ni kuwa kuna kigezo gani kinatumika kutoa ranking ya hizo shule bora. je wahusika wanaelewa kuwa hao watoto wanaosoma shule hizo sio kuwa wazazi wanatoa hela nyingi au walimu ni wazuri sana, bali ni kuwa mchujo wa kuingia unachagua wale waliobright. So mwisho wa siku...
  7. thobyjr

    JamiiForums Tanzania Epuka virus, tumia mfumo huu kwenye computer yako

    It's better kuwa na Windows defender especially kwa user wa Windows 8 na 10.
  8. thobyjr

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop na Tablet mpyaa kwa bei pouwa: 30% discount

    Hueleweki
  9. thobyjr

    JamiiForums Tanzania UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Kipande system.
  10. thobyjr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya mwanamke/mwanaume, yupi ana uwezo wa kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?

    [emoji22] [emoji134]
  11. thobyjr

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    The Young Pope hebu muitafute aisee..
  12. thobyjr

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanywa kwenye mnara wa askari Dar?

    Saa hz wanavaa mkuu...
  13. thobyjr

    JamiiForums Tanzania DELL Latitude E6410 inauzwa 550,000/=

    Core i5 2.4 GHZ processor HDD 500 GB RAM 3 GB Iko katika hali nzuri kabisa. Mawasiliano 0625 415152
  14. thobyjr

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watu ambao siyo 'Professional Teachers' kufundisha Private Schools

    I think u should rewrire ur view in English so that people won't judge you wrong!
  15. thobyjr

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watu ambao siyo 'Professional Teachers' kufundisha Private Schools

    Nadhan watu wanaompinga mleta hoja wangechangia huku wakiwa wanajua nini sababu na malengo ya kumpeleka mtoto shule katika ngazi zote hapo tunaweza tukajadiliana na kuwekana sawa kimitizamo..
Back
Top Bottom