Walimu kwanini mnawadhalilisha watoto?

walimu wenye vichwa vyepesi ni rahisi sana kuwabaini.

yuko na mavijiti mikononi masaa arubaini kutafuta wa kuchapana nae.

shule inakuwa kama vita.

huwa mara nyingine naona ualimu ni upumbaffu tu.

fundisha utoke uende kwako ukalale.

kutwa kupambana na wanafunzi tu hakuna wanalofanya.
Ninauhakika wewe kama ulifanikiwa kumaliza form 4 lazima una 4 ya mwisho au una zero ama laa basi ndio unajiandaa kumaliza na nikuhakikisheie utapata 4 mbaya au zero, maana uzoefu unaonesha idadi kubwa ya wanafunzi wanao wachukia walimu huwa ni wajinga darasani na hawajiwezi , wao wanacho weza ni usela, uhuni na umalaya na kujiona wajanja .
 
Basi na wewe ni mpumbavu video umeziona tano walimu wapo zaid ya laki tatu sasa hiyo research uliyo soma ndugu yangu wewe ni ya uchochoro gani.

yaani 0.00167% inatosha kujumuisha na 99.99833% kwenye kundi la wakosaji? Mwenzetu umesoma kweli wewe?au ndio nyie ambao shulen mnakalia uhuni na uvuta bangi halafu mkifeli mnatafuta sababu za kusingizia walimu? Hayo ndio matatizo ya kufeli na kukosa mwelekeo unaona dawa ni kuwatukana walio fahuru punguza ujinga kwanza kichwani mwako kabla ya kuhangaika na hao baadhi wa walimu wajinga wenzio.

Na ukiona mtu yeyote anaye wachukia walimu ni lazima alikuwa mjinga darasani maana hata shuleni wanafunzi wanao feli sana ni wale wakaidi,wenye kiburi, wagomvi, wanywa viroba,malaya nk na wasio na uwezo darasani mara zote hao huwa ndio wanao kuwa wakwanza kuwananga walimu na hata wewe tukikufuatili cheti chako kama sio una 4 ya 30+ basi una zero

Watoto wanao fahuru vizuri mara zote ni wale wanao kuwa na utii kwa walimu wao na nidhamu yao ni ya juu

Ila walimu na nyie baadhi yenu kweli mnakiuka taratibu kwa nini mnapost picha za watoto wenu mitandaoni huo ni ulimbukeni wa hali ya juu , kwa nini mnawadhalilisha watoto kiasi hiki, wewe ukienda kwa Dr kutibiwa halafu Dr akapost picha zako mitandaoni unavyo jieleza utaisikiaje. ACHENI TABIA HIYO.
Mkuu mi nimesema kitu ambacho naona hakiko sahihi wala sijatukana sehemu yoyote ile, hakuna sehemu niliyo sema neno pumbavu

Labda nikutoe shaka mimi sio bashite sijawai kupata chini ya div one O&A hata chuo kikuu nilifanya poa

Angalia makini nilichokisema labda ungeshauri nitumie neno baadhi ya walimu sio walimu

Na kingine walimu nao wamezidisha ujinga siku hizi wambie wabadilike
 
Hahahaaa kwenye mitandao huku mbona kila mtu ana div 1ya point 7 na div1 ya pnts 3 advance na GPA ya 5.0 chuo mkuu . hahaaaaa kuongea mitandaon tu mbona sio kazi , unaweza hata kujiita wewe ndio T.O wa tanzania na africa mashariki na kati. Hahahaaaaa
 
Mkuu naweza kukutumia pia ukitaka ile sio 0 ifichwe
 
Ninauhakika wewe kama ulifanikiwa kumaliza form 4 lazima una 4 ya mwisho au una zero ama laa basi ndio unajiandaa kumaliza na nikuhakikisheie utapata 4 mbaya au zero, maana uzoefu unaonesha idadi kubwa ya wanafunzi wanao wachukia walimu huwa ni wajinga darasani na hawajiwezi , wao wanacho weza ni usela, uhuni na umalaya na kujiona wajanja .

unadhani kwamba nilifeli???

:D :D :D

very foolish!

mimi nilifaulu nikapita viwango vyote vinavyohitajika.

kwa akili hizi za kibashite mtaendelea kuwapaka wanafunzi wetu matope vichwani tu!

hakuna mnalolifanya zaidi ya kugombania mapenzi na wanafunzi.
 
Habarini za weekend wanaJF;
Nimesikitishwa sana na hizi video au post ambazo Mwalimu anapost au anasambaza mitandaoni huku akiwa anafundisha, tena anaonesha jinsi gani mwanafunzi anayemfundisha ambavyo haelewi ambae ni Mtoto mdogo under 10, najiuliza hivi maadili mliofundishwa huko vyuoni yanawaelekeza mfanye hivi.

Je wazazi wa hao watoto wakiwafungulia mashitaka mtasema mnaonewa,

Assume ni mwanao Unaingia mitandaoni unakuta video inaonesha jinsi gani alivyo bashite,

Assume baada ya miaka 30 Uyo Mtoto anakuja kuwa mwanasiasa na video Kama hizi hujui kwa kiasi gani utamdhalilisha?

Ombi kwenu walimu watendeeni watoto wetu Kama mnavyotaka wa kwenu watendewe, Kama mnaona ni sawa rudini vyuoni mkasome hata business administration inatosha video

Video zimegoma ku-upload

Una maana walimu woote wanadhalilisha watoto?

Ulipokuwa mdogo ulidhalilishwa na walimu wako?
 
Eti unafight unasoma vitabu unasummarize notes tena unaandika mwenyewe ubaoni ili aandike kitu kilichosahihi lakn cha ajabu yeye anakuwa na akili nyingi kuliko mwalimu.
Mkuu, hata ukiwapa typed notes wanakili kutoka kwenye karatasi kwenda kwenye madaftari yao, wengine wataandika madudu na wengine hataandika.
Ambacho huwa nakifanya, nikimshika ambaye hakuandika notes zangu, nambakisha shuleni aandike notes wakati wenzake wamesharuhusiwa kwenda kwao saa 7 mchana. Kumaliza kwake ndo kuondoka kwake.
Uzuri wake namba za simu za wazazi wao ninazo, kwa hiyo nampigia simu mzazi wake ajue mwanae anaitumikia adhabu.
Wasiofanya kazi zangu, hubakishwa shuleni wenzao wanapokua wameruhusiwa kwenda kwao. Ktk adhabu hii, mwanafunzi akaye tu akiutazama ukuta, asisome kitabu wala kuongea na mwenzake kwa masaa matatu/manne. Sijawahi kuwachapa watoto kwa kukosea mambo ya darasani. Nawapa adhabu za kuwakera tu. Nina adhabu nyingi tu za maudhi hadi nikikaa nao huwa wananiambia bora ningekuwa nawachapa.
 
Back
Top Bottom