Simu Yangu iliharibika[emoji2]Kwani uliifuta?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]na kasura kidogo bhana sio unatoka na mutu unaogopa hata kumtambulisha.
kidding
Usiseme hivyo. Utasababisha nimkoseMy kaka penda penda katika ubora wake.
Huyo mnywa viroba stakiMy kaka nilishakuambia uwe unakwenda kulewa na Daby, unaona sasa vitu umeanza kuongea!!!
Kawekwa ndani na jimama hawez kuja sa hivi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Daby ukuje huku ujitetee.
Weee basi..Yaani niwe single mother ndio hutonigaya? Sasa niwe single mother mara ngapi kaka yangu? Au niongezee wa3?
Ndugu yangu jiandae wiki ijayo tukupeleke maombi pale peakers.Huyo mnywa viroba staki