Je nitahitaji kujisajili tena Open University?

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,552
5,824
Salaam wakua nauliza, ikitokea umejiunga open baada ya muda kabla ya kuanza masomo ukaomba kuahirisha kidogo, je ukitaka kuendelea sasa una haja ya kujisajili tena,? Au unawaarifu tu unaendelea?
Mwenye uzoefu a nijue.
 
Nenda Kwa director wa centre yako kama uliandikaga barua ya kuaibisha mwaka peleka nakala yake..Ila kuonana naye ninmuhimu hata kama hukuandika barua.
 
Salaam wakua nauliza, ikitokea umejiunga open baada ya muda kabla ya kuanza masomo ukaomba kuahirisha kidogo, je ukitaka kuendelea sasa una haja ya kujisajili tena,? Au unawaarifu tu unaendelea?
Mwenye uzoefu a nijue.
Inategemea umepita muda gani toka ulipokua admitted kwa mara ya kwanza na ni undergraduate au postgraduate.
Kwa undergraduate baada ya miaka 6 registration number inakua invalid na kwa postgraduate baada ya miaka mi 3 registratio number inakua invalid
 
Back
Top Bottom