Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
napenda kuwatangazia wadau wote ambao mmesoma kuanzia level ya diploma ,bahelor degree,masters na phd karibuni chuo cha open university kuna fursa ya kufundisha na kuwa brush wanafunzi wanaosoma chuo hiki ....
nasema hivyo kwa sababu hiki chuo hakina walimu wa kufundisha na wanafunzi ndo wanajitafutia walimu wa kuwafundisha hivyo basi na kuwapiga brush hivyo wewe mwana jf hii ni fursa kwako kama unapenda basi ni kufatilia tuu taratibu zao utapewa maelekezo jinsi gani utakutana na wanafunzi na jinsi gani mta bergain bei ya kuwafundisha kwa kila somo
nazungumza hayo kwa sababu mimi ni mwanafunzi wa post graduate diploma na ninaona jinsi gani wanafunzi wanahaha kutafuta walimu angalau wa kuwa brush na wanavyohaha kutafuta material
Sent using Jamii Forums mobile app