Recent content by Thecoder

  1. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Hilo tukio linafikirisha sana aisee.
  2. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

    Ingia kisutu hapo sokoni... Au siku hizi hawauzi? Maana kitambo kweli😅
  3. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Kuna Mzee mmoja aliwahi kuniambia kwamba, kama unavyoona koo zilizopo katika namna yakuonekana ila pia upande wa pili wa shilingi huwa kuna Koo pia, kwahiyo kuna watu wanatoka kundi moja la mfumo nyota na licha ya kwamba wanatoka kwenye kundi moja ila huwa kunakuaga na utofauti wa ukuu kulingana...
  4. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Je kipi ni sahihi

    Jiongeze mkuu
  5. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Nilikua sijui kama JF nayo iko na matapeli, Mimi sijawahi kutana na hiyo changamoto ila kuna watu humu hatujawahi onana live ila tumewahi kufanya mambo mawili matatu yaliyohusisha pesa na vitu zikaenda vizuri sana... Ningepata ruhusa kwao ningewatag hapa😊...
  6. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Hii picha itanifaa sana kwenye kubadili avatar yangu😅
  7. Thecoder

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Anhaa, wakasemaje😅
  8. Thecoder

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Huu ndio uhalisia mkuu
  9. Thecoder

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Ndio huwa iko hivyo, hiyo ndio sauti pekee yenye connection ya muja kwa moja na universe
  10. Thecoder

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Fanya jambo, usikute huu Uzi nao ni maalumu kwaajili hiyo😅
  11. Thecoder

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Hakuna ndio, unayeweza kukataa hili sio wewe tu ila hata tukisema tupige kura humu ndani nusu na robo ya member wote wataikataa hii😂😂 ila ndio hivyo, maarifa yako yahawezi kuamua mafanikio yako, unaweza ukawa na maarifa tele kichwani ila ukafa maskini.
  12. Thecoder

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Usipuuze mwenzio asije akakufa.
  13. Thecoder

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    😅😅😅Kuchoma nyumba moto tena? Intuition gani za hivyo? Hiko kitakua ni kichaa mkuu. Always intuition ni hakika, nature inajaribu kukuongoza as inavyofanya always. Hamna maarifa kwenye mafanikio ndio maana watu wanatofautiana maarifa ila hakuna gape ya kufanikiwa kulingana na uwingi wa maarifa...
  14. Thecoder

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Ni almost the same ndio maana ni kama mada nzima inaelekea kwenye inner voice.
  15. Thecoder

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Hii ni defensive mechanism ili kuepusha kufanya maamuzi yasiyo sahihi kwa kushindwa kuelewa reality ya hakika. Ila kama unauhakika ni kweli hiyo ni sauti ya ndani ifuate, hiyo na ndio kitu pekee ambayo huwa inaleta utofauti kati ya wasomi na wale ambao hawana elimu kivile. Ni rahisi sana kwa...
Back
Top Bottom