Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,571
- 14,165
Mawazo hayana CHANZO mkuu"Who is thinking you thought"
Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa bila kuwaza chochote.
Mawazo ni matokeo ya UBONGO kufanya kazi yake ipasavyo
Mfumo wa ufanyaji kazi wa binadamu unakua controlled na UBONGO ambao unakazi ya kupokea, kuchakata na kutoa maelekezo wakati wote unapokua HAI.
Utaacha KUWAZA tu ikiwa utapata changamoto katika ubongo(Unakua ndondocha) au ukiwa unconscious