I'm a Software Developer, I need help

I'm a Software Developer, I need help

Honeybees

Member
Joined
Jul 4, 2026
Posts
9
Reaction score
14
Hello bosses,

Natumai mu wazima, na wagonjwa Mungu awajalie afya njema.
Napitia mabadiliko makubwa maishani mwangu.

Nilijiunga na kampuni fulani ya logistics mwaka jana kabla sijamaliza chuo. At first maisha yalikuwa mazuri sana; salary na bonuses. Ila kadiri muda ulivyoenda employees tuliona mabadiliko, bonus hatukupewa na pay zikaanza kucheleweshwa. Wapo walionishauri nicheki kampuni nyingine maana dalili hazikuwa nzuri Ila niliamini katika vision ya kampuni hasa nilipokaa na mabosi wenyewe. Miezi miwili nyuma ishara zikawa wazi, kampuni ikapata wakati mgumu kiuchumi, na hivyo ikafunga shughuli zake. So nikaamua kucheki opportunity kwingine. Ila hiyo opportunity imekuwa ngumu kuipata.

Sio kama zamani. Chuo nilifanya project nyingi na life lilienda vizuri sana. Nimemaliza nikiwa na job offer 3. Leo inapita muda sijapata opportunity. Sijui ni market au msimu. Sijutii kuikumbatia ile kampuni maana nafahamu experience kama hizo ni part of life but I need to move on asap.

My skills:

Programming languages: Python, JavaScript, Kotlin na Swift.
Frameworks: Next.js na FastAPI.
Mobile: SwiftUI, Jetpack Compose.
I can work with cloud technologies; AWS, Azure na GCP.
Nipo familiar na production level systems na sio hello world programs. Nimeship both web na mobile apps kwenye stores and I can leverage AI well enough.
So please kama una uhitaji wa kitu ninacho offer, let's do it. Utanisaidia na nitakupa service nzuri pia.
Asanteni.
 
Ni stack gani upo comfortable nayo vizuri, na ukipewa project unaweza kusimamia kuanzia wapi hadi wapi?
 
😂😂 nampango nikirudi low level nichuku rust this time napiga backend na mobile tu fullstoop
combo ya backend na mobile ni nzuri sana, ningekuwa katika nafasi ya ku deal na kitu kimoja ningeshughulika na malware peke yake ila sasa nimejikuta nature ya kazi ina nivuruga kila siku kujua mambo mapya na kuyafanya
 
Ni stack gani upo comfortable nayo vizuri, na ukipewa project unaweza kusimamia kuanzia wapi hadi wapi?
Kwa full stack web applications natumia Next.js. Kama kuna uhitaji wa separate backend API, naiandika kwa FastAPI au Node.js. Kwa mobile nafanya project ya SwiftUI from requirements stage hadi app inaingia App Store.
My stack:
Frontend: React/Next.js
Backend: FastAPI/Node.js
Mobile: SwiftUI na Flutter kiasi.
Pia natumia sana Docker wakati wa development na deployment.
Kuhusu uwezo wangu wa kudeal na project lifecycle, naweza chukua project iliyo katika stage ya requirement gathering hadi kwenye production kwa kutumia methodology yoyote ile either nikiwa ndani ya timu au peke yangu.
 
Hello bosses,

Natumai mu wazima, na wagonjwa Mungu awajalie afya njema.
Napitia mabadiliko makubwa maishani mwangu.

Nilijiunga na kampuni fulani ya logistics mwaka jana kabla sijamaliza chuo. At first maisha yalikuwa mazuri sana; salary na bonuses. Ila kadiri muda ulivyoenda employees tuliona mabadiliko, bonus hatukupewa na pay zikaanza kucheleweshwa. Wapo walionishauri nicheki kampuni nyingine maana dalili hazikuwa nzuri Ila niliamini katika vision ya kampuni hasa nilipokaa na mabosi wenyewe. Miezi miwili nyuma ishara zikawa wazi, kampuni ikapata wakati mgumu kiuchumi, na hivyo ikafunga shughuli zake. So nikaamua kucheki opportunity kwingine. Ila hiyo opportunity imekuwa ngumu kuipata.

Sio kama zamani. Chuo nilifanya project nyingi na life lilienda vizuri sana. Nimemaliza nikiwa na job offer 3. Leo inapita muda sijapata opportunity. Sijui ni market au msimu. Sijutii kuikumbatia ile kampuni maana nafahamu experience kama hizo ni part of life but I need to move on asap.

My skills:

Programming languages: Python, JavaScript, Kotlin na Swift.
Frameworks: Next.js na FastAPI.
Mobile: SwiftUI, Jetpack Compose.
I can work with cloud technologies; AWS, Azure na GCP.
Nipo familiar na production level systems na sio hello world programs. Nimeship both web na mobile apps kwenye stores and I can leverage AI well enough.
So please kama una uhitaji wa kitu ninacho offer, let's do it. Utanisaidia na nitakupa service nzuri pia.
Asanteni.
Nitumie contact zako, nina project natak tufanye
 
Back
Top Bottom