Aise Messi ndio mbuzi

Aise Messi ndio mbuzi

mama tanzania bila amani ni ngumu kushuhudia mubashara matangazo ya kombe la dunia kupitia TBC
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida
 
Nakataa kuwa mshabiki oya oya , napenda mpira , acha kwa pumzi hii niliyo bakiwa nayo nimpe maua yake , natambua mchango wa Ronaldo , ila Messi ni next level , acha niupe mpira heshima yake tu.

Viva Manchester United viva lesandro martinez 🙏
Yaani huyu jamaa akiwa bado yupo uwanjani na mpira ukiwa ungali unachezwa usiseme mpira umeisha hadi refa aseme umeisha😅😅😅... Leo ametumia takribani dakika 10 tu kujitambulisha kwa wapenda soka wote duniani.
 
Yaani huyu jamaa akiwa bado yupo uwanjani na mpira ukiwa ungali unachezwa usiseme mpira umeisha hadi refa aseme umeisha😅😅😅... Leo ametumia takribani dakika 10 tu kujitambulisha kwa wapenda soka wote duniani.
Napenda tu mpira sina maneno mengi bwashee😅😅
 
Ronaldo ni bonge la mchezaji ila kwa sasa umri umemtupa mkono , kumbuka elkasiko walivyokua wanajibishana na Messi kwenye piki zao
Classico zipi hizo mkuu? King of El Classico ni LIONEL ANDRES MESSI.

Messi ndio TOP scorer wa muda wote wa El Classico.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom