Mkuu, huyu jamaa ni rafiki wa karibu sana na RA pia nae ni mfadhili wa JK na CCM kwa ujumla jamaa wa madini wanamfahamu.
Mulla ni mwezeshaji wa mipango yote ya kifisafi TZ na nchi za uarabuni... ok kwenye hili sakata atakuwa ndio kinara ofcourse wizara ya fedha, madini na utalii ndio wanamfahamu...
Mbona afya yake inaonekana mgogoro kila siku! anyway nijuavyo atazidua ya CUF zen kesho ama jioni yake anaeda ya CCM maana wapo kwenye NDOA moja.
al the best
kwenye Red PL hukusoma? primes zinatofautiana na conclusion pole sana jipange uje upya bila kutumia masaburi yako kuwaza na kuandika..
CCM-B a.k.a. magamba B hamna lolote.
Serikalikari inataka Kuibaka demokrasia... . hizo ndio siasa za majitaka now days magamba na media zao wanatumia Masaburi type kuwaza sijui kama tutafiaka kwa vyovyote vile PM anahusika kutupeleka huko!
wakuu! waziri wa A.Mashariki Mh. Samweli Six wakati wa kuhitimisha hoja yake bungeni jioni hii, amesema vijana wa kitanzania wanawaza FIESTA, hawafahamu computer.. pia ma secretary hawajui kutembea, pia mabinti wa tanzania ukimgusa tu anakuwa mkali wakati wa Kenya ni wachangamfu, wanaomba email...
Waache wale rushwa bana tz is free corruption zone hao kina chenge, rostam, lowasa, kalamagi, sitta, jk na mafisadi wote wanakula na kupiga michongo daily hakuna hatua sembuse trafic? Jairo
pole mkuu nawewe utapata tu hata mh. Wenje anafahamu hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.