Nape apata aibu Serengeti

Nape apata aibu Serengeti

Hii habari imepostiwa saa 6 usiku kwa saa za bongo. Ulikuwa wapi kupost tangu muda wa tukio? Au mkutano ulivunjika usiku? Hii source siiamini kabisa]

sababu yako ya kuipinga hii source ni nyepesi mno au hujui kuwa kwa kuwaza kwenu kwa kutumia masaburi huko umeme umekuwa bidhaa adimu bongo?kuna sababu lukuki za kuchelewa kutuma post
 
Vyovyote itakavyokuwa, nape anahitaji elimu gani ili kujua kuwa siasa za nchi hii ziko kwenye "turning point"? Na kwamba chadema kwa mara ya kwanza tangu 1992, kinakipasuapasua ccm?
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

Nape huwezi jilinganisha na Mbowe ndugu yangu ni sawa na 'Trekta na Powertiller',Obama na Kikwete.Nape kweli nimegundua kuwa aidha umelogwa ama umelewa Landcruiser na Pesa.Mwisho wenu unakuja angalieni tuu msiishie kwa Ocampo.
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
Mbona mnapata shida sana JF kama inaangamiza vyama vingine...wewe unavyo waza kwa masaburi una weza kujilinganisha na nani CDM?
 
Kwakuwa nape mwenyewe kafika hapa na kapinga basi azibitishe /amkosoe ngd igwa kwa kumwaga picha au mwasemaje bandugu
 
Mkuu Nape una maoni gani juu ya uchaguzi wa zambia?unaonaje jinsi wananchi wenye hasira wanavyowatembezea kichapo wafuasi na viongozi waliopokonywa madaraka?
unaonaje siku mkipigwa chini hapa tanzania mtajificha wapi?kichapo mtakachochezea kitakuwa hakina mfano
je vile viwanja vyetu vya mipira mlivyotaifisha mtaendelea kuvishikilia?
mkuu mimi mwenyewe siku mnapigwa chini na watanzania nitakutafuta mahali popote kwa gharama yoyote ile!

Mod huyu anachoche mauaji hapa Nchini Mpige Ban ya forever
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

una matatizo kaka, kapime c bure!
 
Nape utakua una matatizo ya kufikiri!!!Hukubaliki kabisa tena na age group wako,ni very very sad!!
 
Duh! Kumbe Nape hajieliwe hivyo. Wewe Nape wakujilinganisha na Mbowe. Kwanza sema ulizomewa au la. Mie huwa nasikia huyu jamaa ni mweupe kichwani nafikiri wanamuonea leo nimecomfirm.
 
Ndo wajifunze kuongelea sera na si vinginevyo...ukisema chama cha wahuni kwani wahuni sio watu? Wamesahamu Mwalimu Nyerere alikwishawahi kusema kuwa "Iko siku watz wataamua kumwingiza mwendawazimu ikulu" kwa kuchoshwa na matendo ya viongozi waliowachagua. Sasa wacha wahuni wakae na wahuni wenzao na wezi wakae na wezi wao ila kila mmoja amweshimu mwenzie kwani kila mmoja anahaki ya kuongoza/kutawala.

Nimeipenda hii...siongezi neno.
 
Wanasiasa inabidi wajifunze, sio kila sehemu wanataka upuuzi. wale ndugu yangu wapo serious sana!
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
Jibu hoja Ulizomewa ama la! hoja siyo ulijaza watu compare to kamanda Mbowe! nyie zeni ni kusomba watu ama umesahau...?
 
Kwakuwa nape mwenyewe kafika hapa na kapinga basi azibitishe /amkosoe ngd igwa kwa kumwaga picha au mwasemaje bandugu

Walivyo mafundi wa kuchakachua picha si watakuwekea picha mpaka uchanganyikiwe!

wabaki hivyo hivyo tu sisi tunachofahamu CCM haina chake tena.
 
Ningekuwa Nape ningehama nchi. Huwezi kuchukiwa na kila mtu namna hii...
 
huyu jamaa anataka kuiua CCM ili arudi kwenye chama cho cha CCJ,kumbukeni CCJ haijafa...inawanachama wake ambao wamesambazwa kwenye vyama vikuu kwa ajili ya kuvizoofisha
 
napee kijana uliyevaa unafki kwa kuhongwa ukuu wilaya ukajisahaulisha kwa makuskudi shida za ndugu zako wanaotafuta huduma za afya,maji,umeme haki za kiraia,elimu dah! Umejichomeka katika mabawa ya mafisadi kwa ajili ya pesa!? Nakuonea huruma adhabu ambayo muumba amekuandalia ww na hao wakuu wako ila muumba analipaga hapahapa tumbueni tu haki za watz wenzenu wasio na hatia
 
Nnauye Jr said:
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

Kwanza tafadhali sana dogo Nape, angalau jifunze kinachoitwa internet etiquette. Kwa kuandika kwa herufi kubwa unazidi kudhihirisha usivyo jua namna ya kuwasiliana na watu na hasa mtandaoni, ni aibu.

Pili, ningependa kuchukua nafasi hii kukupa tu tahadhari kuwa ni heri ukijifunza pia na namna ya kuwasiliana na jamii tofauti tofauti ukitaka wananchi wakuelewe na wakusikilize. Mambo kama haya hapa chini yanawezekana mikoa fulani fulani lakini siyo huko Serengeti, utaambulia kutukanwa na kukimbiwa - huko vazi la kanga halipiganiwi na wananume !

attachment.php

Back
Top Bottom