Recent content by The killar

  1. The killar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

    Njoo pm tuongee kikubwa
  2. The killar

    JamiiForums Tanzania Frank W.A: Mhalifu tapeli mwenye akili aliyesumbua dunia na mwishowe kuja kuajiriwa na FBI

    Ni tag pia ukiendelea Naona Leo umepumzika kidogo kwa watoto wazuri
  3. The killar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife kanuna kisa nimeongezwa nyanya gengeni

    MZEE ULISHAPATA UFUMBU WA KUWA NA JINSI MBILI AU ULIKUWA UNATUCHORA
  4. The killar

    JamiiForums Tanzania Mwenye past papers za English 1 na 2; Kiswahili 1 na 2 anisaidie

    We jamaa ubarikiwe sana
  5. The killar

    JamiiForums Tanzania Nani alikuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD?

    Basi jitahidi ukumbuke usaidie kaumu
  6. The killar

    JamiiForums Tanzania Nani alikuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD?

    Kama kichwa kinvyojieleza hapo juu Basi nami bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye swali hilo ambalo lilishaulizwa humu miaka kadhaa iliyopita bila jibu ya uhakika kupatikana. "NI NANI MTAZANIA WA KWANZA KUTUNUKIWA UPROFESA KATIKA HISTORIA YA TZ/TANGANYIKA?" ILIKUWA WAPI? FANI GANI...
  7. The killar

    JamiiForums Tanzania LEONARDO DA VINCI: Miongoni mwa wanadamu wachache unaopaswa kuwafahamu

    Miongoni mwa few talented human being
  8. The killar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Jina lako ni la kike au kiume??
  9. The killar

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    Samahani mkuu na Ilani inasemaje kuhusu ujenzi Wa viwanja vya ndege? Sina shida kabisa na ujenzi wa hospital ya rufaa chato je, utaratibu ulifuatwa? Sitokei kz
  10. The killar

    JamiiForums Tanzania Lugha yetu ni " Kiswahili " au " Swahili "?

    Ki- Swahili -Swahili Ki- ni mofimu ambayo inaongeza taarifa zaidi Na -Swahili ni shina la neno -shina la neno ndilo hutoa taarifa za msingi Mfano. -kula. Ni shina linalotoa taarifa msingi Lakini tunaweza kuongeza mofimu(affix) mbalimbali ili kupata taarifa zaidi Mfano ana-kula...
  11. The killar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili swali linaniumiza sana kichwa

    Kweli nyie viumbe haijulikani mnachokita Vipi kama angekuwa anasaliti sijui ungeandika nini
  12. The killar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kondomu alizoacha rafiki yangu kwenye begi langu zinavunja uchumba wangu

    Kwani Kondom nayo ni case alitaka akukute na ARV?
  13. The killar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume anahitajika 36+

    Njoo pm tuyajenge kiutu izima
  14. The killar

    JamiiForums Tanzania Sasa Lema, Nassari na CHADEMA wataamka?

    AKILI ZA WATANZANIA WENGI ZIMEDUMAA KWANI MATESO YA KIUONGOZI WANAYAPATA CDM WAHANGA NI WANANCHI WOTE MI NADHANI KWA KUNASHIDA NA MATESO BASI YAONGEZEKE MARA DUFU MPAKA AKILI ZITUKAE SAWA NDIPO KILA MTU ATAFANYA MAAMUZI YAKE MAMBO YA KULAUMIANA HAYANA HAJA CCM NA CDM WOTE NI WATAFUTAJI KAMA...
Back
Top Bottom