[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa usawa huu olewa tu ndugu
Jibu unalo siku nyingi mbona. Ndugu zako na marafiki wanakujua kama mwanume au mwanamke?Hamjambo wana JF,
Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.
Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.
Naogopa sana kujulikana.
Naomba msaada wapenzi.
Kama una mwonekano wa kike bora uolewe. Lakini ufanyiwe operation kuondoa hiyo ya kiume.Hamjambo wana JF,
Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.
Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.
Naogopa sana kujulikana.
Naomba msaada wapenzi.
Duh nimechelewa mada. Kama hujajibiwa, embu nikupe muangaza kidogo.Hivi ukiwa na jinsia mbili na zote ziko active unaweza ukajitia mimba, yaani kama vile unapiga chaputa then unachukua shahawa unaziweka upande wa pili at the end of the day u become a mother and a father of your own kid.
Kashaolewa bro [emoji4] [emoji4]Looooooohhhh...., ushaolewa tayari..., hizo gololi ndiko mzigo wote ulipo..., sasa kama huna tena..daah..., ushaolewa bro
Msitumie nguvu zenu bure kumjibu huyu jamaa ni muongo anawapima akili tu. Angekuwa kweli ana tatizo hilo angekuwa serious hata kwa maelezo yake tungemjua kwamba huyu ni kweli anahitaji ushauri, badala yake katumia maneno ya mzaha kweli kujieleza...huyu mkongwe hapa JF kabadilisha ID karudi upya.Kwa hali yake hawezi kuwa mwenye furaha nchi hii!Mungu angemsaidia akaishi Marekani ama Ulaya.Kwa tabia ya waafrika ni wabaguzi wa hali ya juu sana na huenda wengi wakamtukana na kumlaumu kwa nini yuko hivyo bila kujua ni ajali za kibiolojia.Ukizaliwa Tanzania na matatizo kama hayo na yanayofanana na hayo,ni kama adhabu nzito utakayobeba wewe na familia yako.Hata akizaa,watoto watadhihakiwa sana.Ila Mungu amtie nguvu tu maana ni mtihani mkubwa sana
Njo pmAsante mkuu, ila pia nshawahi kugegeda mkuu ila, kwa kukificha,
Ila pia hii nyingne nayo ina genye mkuu