Mume anahitajika 36+

Habari wana JF,

Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.

Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.

Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.

Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
Wanakuja wapokee
 
Naona x wako mliachana kwa ulevi wake,.. si ndiyo? basi siyo walevi wote ni wabaya mi hata kama sina hela ya kulewea mke wangu ananipa nikalewe maana nikiwa high huwa nampenda na nakuwa romantic kwake sana. bila kulewa hata kuongea ndani ya nyumba inakuwa shida basi anakuwa bored mpaka anadhamini nikapige mbili na nyagi ndogo basi nikishakunywa niambie hiyo spidi ninayomrudia sasa, utaipenda
 
Habari wana JF,

Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.

Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.

Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.

Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
Nipo tayari!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom