Recent content by thalostchild

 1. thalostchild

  Kwako afisa elimu wilaya mpya ya ubungo!

  Pokea hili kuna shele ya msingi inaitwa king'ongo primary iko GobaMatosa . Hi shule inahitaji jicho lko kwa ukaribu sana kuna mambo ynaendelea huku ya ajabu walimu wana kaz zao binafc kuendesha Boda Boda na kukuta miti mida ya kzi tunashinda kuelewa vipi mida ya masomo yafanyike hayaa . Sent...
 2. thalostchild

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Mi nazani hapa ni suala la muda sizani kama utafiti juu ya jua kuizunguka dunia ama dunia kuzunguka jua limeshafungwa na kuthibitishwa na wanasayansi wengi..kutokana na hili bas pia naamin wapo wanasayansi wengine watatuletea habari mpya juu ya jua na dunia...
 3. thalostchild

  Heat press machine

  Uko wap ndgu
 4. thalostchild

  Tanzania ya viwanda mimi nimeanza na T-Shirt Printing Workshop, Mabibo hostel

  Mi naonaga baada ya kuprint wanaikausha Mashine we unafanyaje Ndgu yangu Na machine huna? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. thalostchild

  Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

  Isifanye hiyo kitu ndgu yang kama unampenda mkeo...kufany hivo jua unamrudisha mkeo kwao ila we utaondokaa tu hapo Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 6. thalostchild

  Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

  Point yako nini sasa.... Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 7. thalostchild

  Domo punguza stress..

  Ila nyimbo zke unazo?... Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 8. thalostchild

  Domo punguza stress..

  Wabongo banaaaa..we kaaa hivo hivo tu..mnasubirigi vya watu mvitoe kasoro..mqemzko yke yanakwendaa we umekaaaa domo domo...!alafu ukitaka kufanikiwa usiwabeze wanaokusemaa..wakat we unasema domo"mwenzio ili useme vizur ndio anazid kulibetuaaa huku dolaaa zikiingiaa tu...kazi kwako ww unakwesha...
 9. thalostchild

  Je, maendeleo yako yanafanana na umri wako?

  Nina elimu ya form 4 miak 32 tayari nimeshajenga.familia ya watoto 3 kazi fund gerej...samtime nakosa hata pesa yakula na familia na si maramoja...nimeshindwa kujipima!
 10. thalostchild

  Kwanini kitendo cha mapenzi ya kinyume kinaitwa tigo?

  Kuna kipindi fulan tigo walikuja na tangazo lao wakionyesha mtu anafunga kidole gumba na cha shahada mfano wa sufuri...hapo ndipo dhana hii ilipoanza mpk leo kufunganisha vidole hiv kumebeba ujumbe huo.
 11. thalostchild

  A Picture Say's A Thousands Of Words

  Hapo ni faru John alivyoumiza vichwa vya serikal baada ya kufa kuliko kupotea kwa Kamanda Ben Saanane
 12. thalostchild

  Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

  Nini unata baada ya rooted?''sim yako iko tayar rooted..Kuna kubadili vision baada ya rooted..pia unaweza kufuta apps ambazi mwanzo hukua na ruhusa ya kufanya hivyooo.. SO wewe uliroot ili ufanyaje....angalizio. Kuroot sim Alaf ukafanya update imekula kwako"
 13. thalostchild

  Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

  Unajua maana ya ku root? Ukitoot hakuna kinachibadilikaa kwenye icons..isipokua umekua
 14. thalostchild

  Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

  Jike dume/wanawawake mwenye jinsia mbili
Top Bottom