Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

Kuna m2 anaelimu ya juu na kuna m2 amewahi kin dhuria chuo kikuu,hakika ww ndg yangu ww ulikuwamuhudhuriaji na sio msomaji kwa hlo ulilolisimulia
 
chukua kyombo iko weka ndani mke mke sifazingine ziada
 
Unaoa shule au mke?
Oa huyo tayali ulishampenda mwoe tu
 
Back
Top Bottom