Hapo ni ccem haitaki kuona professionals wakifanya yao.Nifafanulie hiyo ya mtu ameuawa pembeni kuna kimiminika kimemwagika.
What does it speak?
Mpaka rangi amedondoka na kufa ila maboss wanasikitikia rangi iliyomwagika kuliko binadamuNifafanulie hiyo ya mtu ameuawa pembeni kuna kimiminika kimemwagika.
What does it speak?
Hapo ni faru John alivyoumiza vichwa vya serikal baada ya kufa kuliko kupotea kwa Kamanda Ben SaananeNifafanulie hiyo ya mtu ameuawa pembeni kuna kimiminika kimemwagika.
What does it speak?
Yaani watu wanavipa vipaumbele vitu kuliko binadamu mwenzao!!!Nifafanulie hiyo ya mtu ameuawa pembeni kuna kimiminika kimemwagika.
What does it speak?
Hapo hao wanaonekana ninkama waajir iliyomwahika ni rang na huyo MTU alokufa ni mpaka rangi lakin. Watu wanashangaa nankihuzunika juu ya rangi iliyomwagika na kudharau maisha ya mpaka rang ambayo amekufaHapo ni ccem haitaki kuona professionals wakifanya yao.
Au hapa ni Sawa. Na mataifa maskin ambayo yanatambua kuwa .marekan ni taifa gandamz lakin hayana nguvu mwishowe hishia kupablish Yale ambayo wenzao hufanyiwa na hao madhalim wakisubr. na wao zam Yao ifike bila ya kutafuta njia ya kujinasuaView attachment 509182
...............Serikali ya thithiem na waandishi wetu wakiamini wao wako salama.
Ikiwa na maana kwambaMpaka rangi amedondoka na kufa ila maboss wanasikitikia rangi iliyomwagika kuliko binadamu
Vipi Mamaa?mbona mapovu meengi na kujifanya GT then waandika madudu/utumbo?Ulimaanisha nn labda bidada?Hapo hao wanaonekana ninkama waajir iliyomwahika ni rang na huyo MTU alokufa ni mpaka rangi lakin. Watu wanashangaa nankihuzunika juu ya rangi iliyomwagika na kudharau maisha ya mpaka rang ambayo amekufa
Gandamiz,hishia,kupablish,zam Yao~mbona haya maneno yana harufu ya fa~fa~fa yaani harufu ya kibashitebashite!!!Au hapa ni Sawa. Na mataifa maskin ambayo yanatambua kuwa .marekan ni taifa gandamz lakin hayana nguvu mwishowe hishia kupablish Yale ambayo wenzao hufanyiwa na hao madhalim wakisubr. na wao zam Yao ifike bila ya kutafuta njia ya kujinasua
Sometimes typing error na sometimes inatokea outo correct iko sio kipimo cha ubashite tafuta sababu za msingGandamiz,hishia,kupablish,zam Yao~mbona haya maneno yana harufu ya fa~fa~fa yaani harufu ya kibashitebashite!!!