Kwako afisa elimu wilaya mpya ya ubungo!

thalostchild

Member
Apr 16, 2015
79
23
Pokea hili kuna shele ya msingi inaitwa king'ongo primary iko GobaMatosa .
Hi shule inahitaji jicho lko kwa ukaribu sana kuna mambo ynaendelea huku ya ajabu walimu wana kaz zao binafc kuendesha Boda Boda na kukuta miti mida ya kzi tunashinda kuelewa vipi mida ya masomo yafanyike hayaa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mpeleke watoto wenu English medium....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu talo hivi mpaka leo hujaelewa serikali yako haijali elimu?hiyo mishahara hawajapandishwa kwa miaka mitatu,peleka mtoto wako private
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom