Huo ni uonevu wa wazi Ndugai simamia Bunge kama mtu wa kati acha jazba huku ni aibu kwa taifa kubwa kama Tanzania kuonesha udhaifu mkubwa kama wa Ndugai.
Ukiona kiti kinakupwaya ondoka ukiwa bado unapendwa wakati mnyika anaongea kuna mmama mmoja Mccm aliomba utaraitibu, Mnyika kwa busara...
mmmmh!
Mgogoro wa zanzibar kaumaliza au kauanzisha upya baada ya makubaliano ya suk-serikali ya umoja wa itaifa matokeo yake ni viundi vya uamsho,kuchoma makanisa,vituo vya polisi,ofisi za ccm na hata mauaji ya askari tena kwa kuchinjwa kwa mapanga- pata picha ya panga alilokabidhiwa juzi oman...
Hongera kwa wazo lako la kumng'oa Lekule ww n nani?
Kwa tiketi ya chama kipi?
Au ule mchezo wenu wa UCCM ndani ya longido?
Tunataka mabadiliko ya kweli zaidi sana MAGAMBA sasa basi kama nawe ni gamba nakupa POLE!
Waislamu wa TZ acheni ubaguzi wa kidini mtaifikisha nchi pabaya!
Rais wetu Muislamu makamu wake Muislamu wizara zote nyeti Waislamu hata wizara ya Afya unayolalamikia iko chini ya Hussein Mwinyi.
Kama tatizo ni MOU je nyie mmezuiliwa na nani msijiunge nayo?
Acheni mawazo mgando tuache udini...
Pambafu wee hujui kuwa mwalimu ndo chanzo cha Kitu.
Hebu fikiria JK Mpaka awe rais kapitia mikononi mwa mwalimu wewe mwenyewe mwanzisha thread kama sio mwl usingejua chochote hata JF ungeisikia tu!
Wewe utalaaniwa ukiwasema walimu vibaya waache wadai haki zao ni watu wa muhimu sana maishani...
Hana kozi ya communication skills anachanganya herufi kubwa na ndogo hata mwalimu wake wa darasa la pili (wa-mwandiko) hamkumbuki wasomi wa bongo ama kweli!!!!!!!!!!!!!
Serikali inaingilia mahakama
mahakama wanafuata matakwa ya rais.
Jana rais kawaelekeza jinsi ya kutoa maamuzi.
Ama kweli nchi hii!!!!
Balaa tupu!
Poleni walimu wenzangu hata salary huku Arusha walisha tubania sasa cjui wataachia!!!!!!!
nalo hili gazeti linachochea vurugu na kupotosha umma wa watanzanisa
yuko wapi yule mwenye kofuli alifungie nalo kwa muda usiojulikana?
Au kwa sababu gzt hili ni la govmnt?
Serikali wanaingilia mhimili mwingine.
.suala liko mahakamani polisi na serikali wanahaha nini?
Watulie kimya kama wananyolewa viyisho vitisho mpaka lini?
Hapa halmashauri ya Arusha V.
Afisa (E) anatuma sms kwa HMs kuwatisha eti watapita kuchukua rekodi za mahudhurio!
Anaitwa Nasoro cku...
Watoto waandamane,wadai haki yao!
Walimu wagome wadai haki yao!
Serikali iwaze,iwazue,itafakari watende wajibu wao!
Virungu hatuviogopi, na hao wasaliti wanaojifanya wema ka JK leo ole wao wapeleke milonjo yao kazini watanikoma ninaowafahamu wataipata fresh!
Walimu wote ni sawa haskuna kusema wa sayansi au wa social science yote ni masomo na ufundishaji wayo ni mmoja acheni ubaguzi wa kujickia KEKI ndani ya MANDAZI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.