Wanafunzi wanaoandamana ni jeshi lijalo la wadai haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wanaoandamana ni jeshi lijalo la wadai haki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by papillon, Jul 30, 2012.

 1. p

  papillon Senior Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Leo tumeshuhudia wanafunzi wa shule za msingi katika nchi yetu wakiandamana kudai haki yao ya kufundishwa na kuongezewa mishahara walimu wao. Kwa mtazamo wangu, naamini watoto hawa wana uelewa mdogo sana wa haki zao lakini kwa namna wanavyoandana wakifika umri wa miaka 20 watakuwa watu wasioogopa kitu katika kudai haki. Karibu kuchangia
   
 2. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utasikia CHADEMA imehamasisha watoto kugoma na kuandamana barabarani kwenda kwenye ofisi za elimu katika baadhi ya mikoa hapa tz. Serikali na viongozi wake sijui wanafikiria kwa kutumia nini?
   
 3. TETILE

  TETILE Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watoto waandamane,wadai haki yao!
  Walimu wagome wadai haki yao!
  Serikali iwaze,iwazue,itafakari watende wajibu wao!
  Virungu hatuviogopi, na hao wasaliti wanaojifanya wema ka JK leo ole wao wapeleke milonjo yao kazini watanikoma ninaowafahamu wataipata fresh!
   
Loading...