Mwalimu huyu alipwe bei gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu huyu alipwe bei gani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kavulata, Aug 14, 2012.

 1. kavulata

  kavulata JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 3,207
  Likes Received: 1,564
  Trophy Points: 280
  Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?

  Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?

  Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6.

  Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.
   
 2. J

  Jadi JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,403
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  tuambie wewe kazi yako na shule yako ndo tuchangie vema, na kama ingekuwa hivyo maprof ndo wangekuwa matajiri nchi nzima
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,186
  Trophy Points: 280
  Bei gani?
   
 4. peri

  peri JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  acha kuropoka, ficha upumbavu wako.
  Kama sio walimu usingejua hata kuandika huo ***** wako.
  Kama sio walimu hao madokta wasingepata hizo div one,
  kama sio walimu......
  Naishi hapo.
   
 5. k

  kilema pofu Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwalim nimwalimtu ata akiwa wavidudu mpeheshima acha adabu mbaya
   
 6. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kubwa jinga...akili ndogo dhaifu.
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  unafikiri kwa kutumia masaburi nimeamini kwa dhati kabisa.
   
 8. TETILE

  TETILE Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Pambafu wee hujui kuwa mwalimu ndo chanzo cha Kitu.
  Hebu fikiria JK Mpaka awe rais kapitia mikononi mwa mwalimu wewe mwenyewe mwanzisha thread kama sio mwl usingejua chochote hata JF ungeisikia tu!
  Wewe utalaaniwa ukiwasema walimu vibaya waache wadai haki zao ni watu wa muhimu sana maishani bila wao hakuna maendeleo ya nchi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa wakuu, ni rahisi sana kugundua upeo wa mtu anayeleta mada humu..... Huyu mleta hii mada nadhani ni kamlete!!!! Na hata elimu yake na upeo wake wa kufikiri utakuwa na tatizo
   
 10. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kavulata pole sana kwa mashambulizi unayopata kutoka kwa wachangiaji wa uzi wako. Kwa maoni yangu ni kwamba walipaswa kujikita kujadili hoja (kama ipo) ili wajipambanue bara bara kama great thinkers. Ila kwa upande wangu uzi wako sitashughulika nao kwa sababu mbili:
  i.
   
 11. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,898
  Trophy Points: 280
  Kwanza nikusahihishe asilimia kubwa ya waalimu wetu hawajaenda kozi kwa wiki 4-6, wengi wamekwenda kwa miaka 2 na zaidi. Tukirudi kwenye bandiko lako, kwani hata kama mtu alipata div IV jhiyo unayosema na akaenda chuo cha ualimu akasoma akatahiniwa na chuo husika akapata cheti cha ualimu baada ya kukidhi matakwa ya mtihani bado unaona kuna shida? Si ameshakuwa mwalimu hapo, na kwa bahati mbaya nadhani waalimu wanachozungumzia ni udogo wa mishahara yao, hawajajilinganisha na mtu aliefaulu.

  Sioni ubaya wowote kwa kweli.

  Kama ingekuwa hawakufauli mitihani ya vyuo vya elimu basi uba haki kuwa grade kutokana na matokeo yao ya form IV au VI
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ila waalimu hawahawa ndiyo waliozitengeneza hizo Div I za madaktari na kada nyingine zote. Kama maslahi ya walimu yataboreshwa, basi hata hawa wenye Div I watavutiwa zaidi kufanya kazi hii na kuzalisha wahitimu wenye viwango vizuri zaidi. Sekta ya uwalimu haitakiwi kudharauliwa kiasi hiki kama ulivyochambua wewe, walimu hawa wanafanya kazi katika mazingira magumu na vipato haba kiasi cha kujikatia tamaa. Tufanye hima TURUDISHE HESHIMA ya WAALIMU kwa kuwathamini na kuwawezesha pia.
   
 13. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Tuambie yule mbunge wa mtera,lakairo,profesa wa ccm aka majimarefu wanasitahili kulipwa 11ml kutokana na elimu yao?
   
 14. d

  davidie JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha kuonyesha upumbavu wako, unamsema mwalimu aliyefika form IV na hawa jamii ya proffesa majimarefu ambae hata shule ajui na analipwa mshahara mnono unasemaje? je wabunge wanastahili malipo makubwa kushinda ya walimu?
   
 15. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Huyu atakuwa analipwa na Nape.
   
 16. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  kwani maji marefu anakusanya shs ngapi kwa mwezi na ana elimu kiasi gani? Dhaifu na Prof mhongo nani analipwa hela nyingi zaidi na elimu zao zikoje?
   
 17. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,928
  Likes Received: 951
  Trophy Points: 280
  mwalimu ni mwalimu tu na siyo wote wanaopata div 4 ni vilaza wengine ni sababu ya mazingira na shule walizosoma ndio maana wanafaulu kozi na kuwa walimu na sote tumepitia mikononi mwao ni huzuni kwamba wao wanabaki palepale wanafunzi wao wanaprosper na wala hawakumbuki waliko toka.walimu wanahitaji kuishi vizuri na siyo kuishi kwa stress ya maisha
   
 18. b

  balosi Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaah! mleta uzi anataka kutuaminisha kuwa watu wenye uwezo mkubwa kiakili ndo wanastahili mshahara mkubwa siyo? basi kama ndivyo maprofesa ndo wangestahili kuliko wabunge! All in all u'r too biased!
   
 19. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Bila walimu wa upe na form 4.Wewe ungelikuwa na elimu uliyo sasa?acha kudharau elimu na kazi za watu ambao mchango wa kazi zao unaonekana katika jamii na taifa.wengine wanaelimu ya darasa la saba lakini ni maofisa serikalini na wanalipwa mara kumi ya walimu wenye elimu ya form na upe
   
 20. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ningekutukana tusi baya sana, ngoja nipite kimya maana ulichoandika hapo ni dharau kwa walimu
   
Loading...