Ole wako Mkoba

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
Oktoba 14, 2008, Rais wa chama cha Waalim Bw Gratian Mkoba alipata kibano kutoka kwa waalimu wenzake waliotaka kujua nini hatma ya mgomo wao uliopangwa kufanyika.
Hatua hiyo inatokana na kile kilichodaiwa kuwa Mkoba kuwatangazia kuwa mgomo umesitishwa kwa amri ya Mahakama.

8436.jpg
 
kwani leo umemuona karudi nyuma? sisi wala hatumuangalii yeye bali tunaangalia mgomo wetu kwamba tumegoma na ndivyo ilivyo hata kwa greda haturudi mpaka rais wa nchi hii atuambie kimamandish kwamba ametuongezea msahara kwa 100%
ametupa waalim wa science teaching allowance ya 50%, ametoa teaching allowance kwa waalim wengine ya 30% na hardship allowance kwa wale walioko kwenye shule zenye hali tete ya 50%. pia miundo mbinu ya vituo iboreshwe madawati, ubao madarasa vyoo kwa waalim na wanafunzi nk.

akishayafanya haya ntutarudi kazini. vinginevyo naomba kazi ya ualim naweza ifanya popote pale duniani ila sijawah ila hiyo ya kuwa raisi ama waziri wa elim TZ huwez kuifanya pengine zaid ya tanzania
 
kama kawa mpaka kieleweke haturudi nyuma najua hata Mkoba mwenyewe
hawezi kurudi nyuma kwani imeshakua tabu kipindi chote hicho
solidarity forever
 
kwani leo umemuona karudi nyuma? sisi wala hatumuangalii yeye bali tunaangalia mgomo wetu kwamba tumegoma na ndivyo ilivyo hata kwa greda haturudi mpaka rais wa nchi hii atuambie kimamandish kwamba ametuongezea msahara kwa 100%
ametupa waalim wa science teaching allowance ya 50%, ametoa teaching allowance kwa waalim wengine ya 30% na hardship allowance kwa wale walioko kwenye shule zenye hali tete ya 50%. pia miundo mbinu ya vituo iboreshwe madawati, ubao madarasa vyoo kwa waalim na wanafunzi nk.

akishayafanya haya ntutarudi kazini. vinginevyo naomba kazi ya ualim naweza ifanya popote pale duniani ila sijawah ila hiyo ya kuwa raisi ama waziri wa elim TZ huwez kuifanya pengine zaid ya tanzania

Leo nazikubali kweli contributions zako teacher....big up...kweli, mimi binafsi nampongeza sana Gratian, hatua aliyofikia siyo ndogo, mwanzoni sikudhani kwamba waalimu tunaweza kugoma hata kwa dakika moja....lakini nafurahi sana hatimaye na mimi nimegoma kwa siku nzima ya leo. Na kesho ikipita, nitafurahi zaidi...waalimu wa science tunashida sana,

Hata ada huko vyuoni, tunalipa tofauti na wenzetu wa arts, why we are paid the same amount? Lazima hili liangaliwe kwa umakini...Kikwete achukue ya kuambiwa na LIwalo na Liwe, na Rweyemamu, kesho kwenye hotuba yake ACHANGANYE NA ZAKE....!!!!
 
kwani leo umemuona karudi nyuma? sisi wala hatumuangalii yeye bali tunaangalia mgomo wetu kwamba tumegoma na ndivyo ilivyo hata kwa greda haturudi mpaka rais wa nchi hii atuambie kimamandish kwamba ametuongezea msahara kwa 100%
ametupa waalim wa science teaching allowance ya 50%, ametoa teaching allowance kwa waalim wengine ya 30% na hardship allowance kwa wale walioko kwenye shule zenye hali tete ya 50%. pia miundo mbinu ya vituo iboreshwe madawati, ubao madarasa vyoo kwa waalim na wanafunzi nk.

akishayafanya haya ntutarudi kazini. vinginevyo naomba kazi ya ualim naweza ifanya popote pale duniani ila sijawah ila hiyo ya kuwa raisi ama waziri wa elim TZ huwez kuifanya pengine zaid ya tanzania

jembe ongezeko la mshahara 100%,
allowances; sceince 55%
; arts 50
; mazingira magum30%
 
Oktoba 14, 2008, Rais wa chama cha Waalim Bw Gratian Mkoba alipata kibano kutoka kwa waalimu wenzake waliotaka kujua nini hatma ya mgomo wao uliopangwa kufanyika.
Hatua hiyo inatokana na kile kilichodaiwa kuwa Mkoba kuwatangazia kuwa mgomo umesitishwa kwa amri ya Mahakama.

8436.jpg

Aisee hii siku sitaisahau,jamaa walikuwa na machungu nae kweli.
 
kwani leo umemuona karudi nyuma? sisi wala hatumuangalii yeye bali tunaangalia mgomo wetu kwamba tumegoma na ndivyo ilivyo hata kwa greda haturudi mpaka rais wa nchi hii atuambie kimamandish kwamba ametuongezea msahara kwa 100%
ametupa waalim wa science teaching allowance ya 50%, ametoa teaching allowance kwa waalim wengine ya 30% na hardship allowance kwa wale walioko kwenye shule zenye hali tete ya 50%. pia miundo mbinu ya vituo iboreshwe madawati, ubao madarasa vyoo kwa waalim na wanafunzi nk.

akishayafanya haya ntutarudi kazini. vinginevyo naomba kazi ya ualim naweza ifanya popote pale duniani ila sijawah ila hiyo ya kuwa raisi ama waziri wa elim TZ huwez kuifanya pengine zaid ya tanzania

hivi kwanini walim tusofundisha sayans tupate posho kidogo? Kwani sie mahitaji yetu ni tafauti na wengine?
 
Walimu wote ni sawa haskuna kusema wa sayansi au wa social science yote ni masomo na ufundishaji wayo ni mmoja acheni ubaguzi wa kujickia KEKI ndani ya MANDAZI.
 
Walimu wote si sawa. Ss wa sayansi tu wachache mno and very hard to find. Hapo kuna usawa?
 
hivi kwanini walim tusofundisha sayans tupate posho kidogo? Kwani sie mahitaji yetu ni tafauti na wengine?

Hivi mwl shuleni kwako wewe umegundua kwamba mwl wa sayansi anafanya kazi za watu wawili? anafanya kazi kama mwl na pia kama technician? Lakini anapewa tu mshahara wa mtu mmoja?

Hilo ni trela picha halisi ni pale ambapo mwl huyu anakomaa na practicals na hata maandilizi yake kabla na wakati wa mitihani. mwl huyu anahaataj kunywa maziwa hasa kutokana na kemikali anazogusa na risk anaazopitia.

Hata hii nyongeza ni ndogo sana binafsi nilitaka waalim wasayansi tupewe bima ambayo ni ya maisha manake tunarisk sana
 
Back
Top Bottom