Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,265
- 8,094
Shigela ataukwaa u-dc au u-rc
hivi huwa wanaukwaa au wanazawadiwa?
Shigela ataukwaa u-dc au u-rc
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?
Wafie mbali manake wote ni ukoo wa panya tu, wote wezi!
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?
Zile safari zake za zanzibar kwenda kula raha na mabinti ndio bye-bye..
Aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu wa CCM mkoa wa Morogoro Bwana Sixtus Mapunda ameteuliwa kuchukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Martine Shigela (Katibu Mkuu UVCCM), je vijana kuna lolote tulilojifunza kutoka kwa kaka Shigela na je bwana Mapunda ni kijana wa aina gani, je ataweza misukosuko ya siasa za leo?
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?
Hizi ni ishu za heche na bavicha kwa ujumla uovu wa chadema mnataka kuwahamishia wengine jiangalieni kwanza.Zile safari zake za zanzibar kwenda kula raha na mabinti ndio bye-bye..
Wakuu punguzeni jazba...naamini kuna kitu cha kujifunza kwenye kila jambo kiwe positive au negative ...tumejifunza nini kwa Shigela na tutarajie nini kwa Mapunda?
Shigela ataukwaa u-dc au u-rc
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nilichojifunza kwa maccm ni kuwa hata ukiwa mzee unaweza kuwa member uvccm
Usiponawa vizuri mdomo na mikono, panya wenzako watakugeuzia kibano.