Nape asema Edward Siyo msafi

.......... Nape... Nape..... Nape ! kama anakiri kwamba EL sio msafi.. pengine anao ushahidi wa kuthibitisha hayo..........

Kama Nape anasema wazi wazi kuwa Lowassa sio msafi, inakuwaje vikao vya chama chao vinampitisha mtu mchafu wakati wao wenyewe kwa kupitia kwa Nape huyo huyo walisema chama chao kwa kupitia vikao vyao watahakikisha kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa ufisadi wasingepitishwa majina yao kugombea? Leo hii watuhumiwa wa ufisadi Chenge na Lowassa wote wawili wamechaguliwa kuwa wajumbe wa Nec; kwa mtindo huu kitu gani kitamzuia Lowassa kugombea kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kupitia CCM?
 
Ushahidi kwamba ndie bomba kabisa kuiendesha Tanzania ya kileo, kwani Nyerere alimwogopa mtu anaewaza ki leo leo, kama nyerere angemchagua Pius Msekwa au Salmini Amour na sio watu kama Lowassa, Kikwete, Tibaijuka na wengine wakali
 
Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la pembeni. 23 Neno hili
limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu. 24 Siku hii ndiyo aliyoifanya
Bwana ...

Zaburi 118:22-24
 
akiongea na makutanoshow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia ccm baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.

Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake cc na nec siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.

Alitoa mfano mara tatu kuhusu lowassa kwamba siyo msafi na hata nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.

kuna baadhi ya wachawi hujisema wakilewa pombe, kama kweli c msafi mbona hamumtoi hadharani? Je ndege wa kundi moja si ndiyo warukao pamoja? Je nani msafi mpaka sasa?
 
Mbona wenye unafuu CCm wapo wengi tu kwanini msiwatumie na kuwapa nafasi za kuongoza waokoe jahazi japo kwa muda mfupi tu. Maana hali ilivyo sasa si lowasa wala membe anayeweza kuokoa jahazi lenu lisizame. Membe, Lowasa na Sita mnaweza kutumia staili yenu ileile ya Zamu ya mwanamke au Zamu ya Zanzibar kumaliza uroho wa watu hao. Wao walishashindwa wanataka nini tena. Na haya mamilioni wanayoyatumia kupanga safu zao watayarudishaje. CCM WAKATAENI HAO WOTE KWANI WATAKUJA KUENDELEZA CHUKI, VISASI NA UFISADI TU
 
Tunaimani kubwa na CCM kuliko chama chochote! Tunaimanii kubwa kuwa kuna viongozi wazuri na wasafi. Sasa ni muda muafaka sasa wa kuwapa nafasi ya kuongoza
 
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.

Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.

Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.

Huyu dogo ni mpayukaji sana
 
Membe is another dhaifu!! over my dead body shall allow another disaster in my country!! After all ma country can not survive the second blow!!
 
Katibu wa itikadi na Uenezi anayeeneza uchafu wa chama chake na wanachama bila kushurutisha hatua za kinidhamu kuchukuliwa.ningekuwa yeye ningejiuzulu nafasi hiyo kwa kuwa inaonekana chama hakiko tayari kujisafisha ili aeneze mambo masafi ya chama!

I dont think kama an opportunist can risk to do that! Namwonea huruma sana..he had all the chances to do what was right lakini wapi....Huwezi kuwa mwema kwaku tarnish image ya mwenzako...Unakuwa safi kwakusafisha njia zako na kuweka contrast kati ya wewe msafi na wale walio wachafu
 
Mbona wenye unafuu CCm wapo wengi tu kwanini msiwatumie na kuwapa nafasi za kuongoza waokoe jahazi japo kwa muda mfupi tu. Maana hali ilivyo sasa si lowasa wala membe anayeweza kuokoa jahazi lenu lisizame. Membe, Lowasa na Sita mnaweza kutumia staili yenu ileile ya Zamu ya mwanamke au Zamu ya Zanzibar kumaliza uroho wa watu hao. Wao walishashindwa wanataka nini tena. Na haya mamilioni wanayoyatumia kupanga safu zao watayarudishaje. CCM WAKATAENI HAO WOTE KWANI WATAKUJA KUENDELEZA CHUKI, VISASI NA UFISADI TU

Siyo mwanamke tu hata wangetumia kijana there is no way they can make it..I repeat no ways just watch and see!
 
yeye mwenyewe sio msafi
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.

Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.

Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
 
Nape kama EL,chafu kapitaje nawewe upo?
CCM yenu yote ni chafu EL bado ana nguvu kubwa CCM ila CDM kiboko yake
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hivi wakati Nape, anasema watajivua magamba, watu wanaopaswa kujivua magamba wanawajua, tena wakapewa muda, wajiondoe wenyewe...halafu leo hii ANAROPOKA maneno ya ajabu, anategemea nini?

hawa WACHAFU (" wasio wasafi") hata ambao hatuko wananchi tunawajua, wamefanya jitihada gani kuwaondoa au kuwachukulia nidhamu ndio suala la msingi na si kubwabwaja tu.
 
Kumekua na Taarifa nyingi kuhusu LOWASA kuwa si msafi ,fisadi ,mwizi yote majina haya ameitwa yeye,sasa nauliza je wewe unaemwita mwnzio mchafu ,mwizi wewe si kama yeye.

jikague usafi wako upo wapi mpaka sasa hivi.

NAULIZA NAOMBA KUJIBIWA....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom