Gratian Mkoba : MGOMO upo palepale na ni HALALI...

MOD tunaomba kichwa cha habari kisahihishwe jina. Inaelekea mleta mada hakunakili jina vizuri, Rais wa CWT ni Gratian Mkoba (na si Marehemu Askofu Adrian Mkoba).

Mleta mada anaweza ku-edit mwenyewe hapo,sio lazima Mods.
 
Nimeshangaa sana kwa serikali kusema ya kuwa haya madai ya walimu ni mapya. Tumeshuhudia walimu wakidai madai yao haya tangu miaka minne iliyopita, sasa huo upya wa madai ni wa miaka mingapi? Kwani haki mpya hazitakiwi kuombwa/kupiganiwa?? Inaelekea kama madai yako hayajatimiza miaka kumi, basi kwa serikali yetu hii madai hayo yatakuwa ni mapya.

Hahahaha Mkuu hapa umenena yaani kwa kifupi ni kwamba Madai yana "Expire Date"
 
gazeti la habari leo linalochapishwa kwa kutumia kodi za wananchi leo limeripoti kuwa eti "rais wa cwt bw.gratian mkoba amekwenda kazini na kusaini kitabu cha mahudhurio akiogopa adhabu" taarifa hizi ni za uongo na zimekanushwa vikali,tumechoshwa na uzushi wa habari leo.
My take
mgomo hauzuiliwi kwa habari za kuzusha,mgomo uko palepale mpaka kieleweke.



nalo hili gazeti linachochea vurugu na kupotosha umma wa watanzanisa
yuko wapi yule mwenye kofuli alifungie nalo kwa muda usiojulikana?
Au kwa sababu gzt hili ni la govmnt?
 
Back
Top Bottom