Sisi tuliotoka Veta ambao tunataka kujoin Diploma ATC tunapita acces course ya NVA bringing course wenye level three/Grade one watafanya Bringing ya kujiunga NTA level 5 yani mwaka wa pili while wa NVA two/Grade two watafanya bringing au access ya NTA level 4 ,je kuna wenzagu umu wata join 3 may...
Unaelewa Tanesco wanakatia wapi umeme katika hizi meter za convertion? Yani meter zisizo Za luku Labda nikujuze huwa wanachomoa cut out au wapande juu kudisconect phase ktk Guzo lakini mara nyingi ni kutoa cut out ..Hivo uionayo hapo hata kama ni Tanesco wame bypass ni kosa kabisa na lazima...
Hapo mawili pawe na wizi au lah labda nichimbe kidogo hio situation ili kuweka clear mambo..Hio board unayoona hapo ni kwa ajili ya cut out na inakuwa baada ya mita .yani meter then cut out then circuit breaker ya consumer hapo kuna mawili inaweza kuwa tanesco walikata umeme then walipokuja...
Uchawi unaweza kuwepo hayo ni maarifa akili ya binadamu ni infinity katika uvumbuzi wa mambo hilo swala la uchawi halijawa open na proved ila haina maana kuwa haupo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.