Satellite na Internet ni vitu viwili tofauti japo vinategemeana .Internet ilianza kuwepo wakati wa Second generation ya computer 1958 hivi kumbuka hapo internet haikutumia satellite kama njia ya kupokea au kutuma mawasiliano walijenga mast yani minara kwa kazi hio hivo kwa mwaka huo Russia walikuwa wamesharusha satellite yao angani usa alifata na hapo hapo wakaona badala ya kutumia Base stations watumie satellite kama medium katika communication ina faida nyingi na iko very accurate compare ni issue za minaraTatizo lugha au sijui vitu hivyo viwili
Maana nilidhan satellite ndio iligundua internet.
Satellite ni kifaa kinachozunguka Dunia Yani orbit kwa madhumuni tofauti kama kupiga picha ulimwengu kwa juu,Mambo ya hali ya hewa,military information na Communications processAsante and what is satellite bY the way
Uongo huuInternet yenyewe ni zao la uwepo wa Satellite. Nafikiri concept yako haipo clearly weka swali kwa kiswahili au tumia clear language
Asante and what is satellite bY the way
Ngoja nijaribu kutumia kingereza na kiswahili chepesi kutomtazamo wangu
Internet in mawasiliano kati ya computer mbili na zaidi kwa kifupi ni mtandao
Kwa kuwa dunia ni duara hata signal ikitumwa upande mwingine haifiki kutokana na umbo la dunia, hapa ndipo satellite inapotumika kutoa masiliano chini then kudivert to another point on ground kwa kuwa wote walio chini hawataweza kuwasiliana lakini wanaweza wasiliana na satellite,
Ni kama vile side mirror ya gari inavyotumika kuona nyuma,
Uhusiano kati ya internet na satellite, hapa badara ya kutumia waya kwa ajili ya internet basi maendeleo ya satellite yalivyokuja wakaamua kuitumia .
Hapo juu kama nilivyo eleza ndo lengo kuu, baada ya hapo imeadopt function zingine nyingi kama areal photography, thermal sensors, etc
Hutumika kuangalia tofau za joto,mfano mlipuko mkuwa sana ukitoke wamamelakani watajua tu, watumia hiyo kujua ilikuzui majaribio ya nuclear hivyo basi wanakua wanazuia mabomu, na nyia nzuri ya kuona vitu sehemu ya dunia ambayo itakua haina mwanga wa jua "usiku"Asante mkuu
Nini thermal sensors
Hutumika kuangalia tofau za joto,mfano mlipuko mkuwa sana ukitoke wamamelakani watajua tu, watumia hiyo kujua ilikuzui majaribio ya nuclear hivyo basi wanakua wanazuia mabomu, na nyia nzuri ya kuona vitu sehemu ya dunia ambayo itakua haina mwanga wa jua "usiku"
Sheria ya dunia hairuhusu nchi yeyote kuweka silaha kwenye satellite kwahiyo satellite sio silaha na si virahisi kuzihalibuUmenichosha dah
Kabla ya thread hii nilikuwa nafikiri namna ya taifa la marekan linaweza kuangushwa kumbe washateka duh
Je huwez haribu satellite au thermal sensor yake
Satellite zipo za aina nyingi sana nyingi zipo kwa ajili ya mawasiliano Yani Radio na zinaingiliana kama utapata Frequency za hio satellite unayotaka kila satellite ina transmitter and receiver na viko operated katika frequency fulani..Radar pia inakuwa ndani ya satellite Yenyewe itatuma military information hata hizi Dishes za saivi zinapokea mawimbi kupitia satellite Na ndio mana ww unq turn station fulani hata mambo ya Global positioning system Gps ni Sattelite izoEven for using what control it?
Na pia satelite zinaweza kusoma yingine kama ya urus kusoma ya mmarekani?
Na tatu utofauti wa radar na satelite kimatumiz na je vinasaidiana?
Internet inaweza kuwa ya mkonga(fibre), minara au hiyo sattelite.Internet yenyewe ni zao la uwepo wa Satellite. Nafikiri concept yako haipo clearly weka swali kwa kiswahili au tumia clear language
Sawa kabisa kiongozi na Fibre optic imeonekana ni njia yenye ufanisi mkubwa kabisa katika kutuma data kati ya Base na Base compare na WirelessInternet inaweza kuwa ya mkonga(fibre), minara au hiyo sattelite.