Choo cha Stendi Moshi wanaiba Umeme

Choo cha Stendi Moshi wanaiba Umeme

Hapo kwenye hiyo picha sio wizi wa umeme ndugu umeme unaibiwa kwenye meter na sio hiyo fuse, hapo fuse imekufa walichifanya wamepiga direct yaani jumper ila madhara ni kwao kama kukitokea short.
 
Manispaa inaongozwa na wapinzani nini? Nkimaanisha Chadema? Kama jibu ni ndio sishangai ...
 
Tanesco huwa mara nyingine wakikukatia umeme wanachomoa fuse tu bila kukata ways so hapo wanajihudimia wenyewe , ,,, hii njia ilikua maarufu kipindi hiko katika mita zisizo za luku unaconnect kuanzia jioni asubuhi unachomoa jumapili ni free asubuhi mpaka asubuhi!

Asante kwa ufafanuzi so hapo huenda ikawa ni mtaji wa mfanya kazi wa Tanesco
 
Tanesco huwa mara nyingine wakikukatia umeme wanachomoa fuse tu bila kukata ways so hapo wanajihudimia wenyewe , ,,, hii njia ilikua maarufu kipindi hiko katika mita zisizo za luku unaconnect kuanzia jioni asubuhi unachomoa jumapili ni free asubuhi mpaka asubuhi!
Hahaha, umenikumbusha mbali. Saa 12 asububi tunadisconnect, saa 12 jioni tunaconnect, jpili full time umeme upo
 
KAMA NI HIVYO BASI MITA LAZIMA ISOME

Hapo mita yaweza soma kama hawaja -i-bypass umeme ukatoka kwenye nguzo na kuingia ndani pasipo kuingia kwenye mita!

Wacha nitapita tena hapo kuitafuta mita yake ipo wapi nione kama nayoimepigwa nyoka au la!
 
Last edited:
Ha..haaa huyu Ni mhindi WA Bagamoyo hakamatiki

#kivava naona hujipendi sasa....shauri yako!!!
Siwajua pana majina 6 ya wakwepa kodi hadi leo yamekuwa bado "withheld"
 
KAMA NI HIVYO BASI MITA LAZIMA ISOME
Ndiyo. Lengo halikuwa mita isisome. Ilikuwa inatokea pale ambapo TANESCO wanasitisha huduma ya umeme kutokana na deni kubwa. Unakuta labda mpangaji kaingia kwenye nyumba inadaiwa bill kubwa bila yeye kujua.
 
Hapo mawili pawe na wizi au lah labda nichimbe kidogo hio situation ili kuweka clear mambo..Hio board unayoona hapo ni kwa ajili ya cut out na inakuwa baada ya mita .yani meter then cut out then circuit breaker ya consumer hapo kuna mawili inaweza kuwa tanesco walikata umeme then walipokuja kurudisha wakajisahau kurudi na cut out ya mteja na ivo wakaamua kuloop yani bypass au consumer yani mteja kakatiwa umeme harafu kajichukulia maamuzi ya kuunga direct apo.Hizo hali mbili zote zinawezekana lakini hilo ni kosa moja kwa moja la mteja Maana hapo hata inshu ya usalama ni ndogo hivo mteja awajibishwe kwa kuvunja sheria ya umeme kwanza japo hio sehemu ya cut out ni supply authority lakin mteja ataruhusu vipi hali hio ikiwa Tanesco walifanya magumashi?? Tunashukuru kwa taarifa kiongozi
 
Hamna wizi wowote hapo zaidi ni Ushamba wa Mtoa post..... mambo usiyoyajua acha kukurupuka.... hiyo picha haioneshi wizi wowote zaidi ni kosa la kiufundi ambali ni usalama wa umeme pale itakapotokea Short chombo cha usalama hakipo hivyo inaweza sababisha madhara...

Waziri wa Mambo ya Ndani alikataza kuwapa kesi za kubabimbia watu kesi za uongo. Mshitaki mtu kwa kosa alilolitenda
 
Unaelewa Tanesco wanakatia wapi umeme katika hizi meter za convertion? Yani meter zisizo Za luku Labda nikujuze huwa wanachomoa cut out au wapande juu kudisconect phase ktk Guzo lakini mara nyingi ni kutoa cut out ..Hivo uionayo hapo hata kama ni Tanesco wame bypass ni kosa kabisa na lazima hatua zichukuliwe kwa mteja kwa kuona miundo mbinu yake ya umeme iko ovyo na huku akiendelea kutumia.Tuachane short cut hapo ikitokea short circuit moto utatembea na line yote
 
Back
Top Bottom