Mtoa hoja amesema kweli. ccm wenyewe wanajua wazi kwamba hiki ndio kipindi chao cha mwisho kutawala. Ndio maana utaona kuwa majority ya mipango ya ccm(kudidimiza uchumi, ufisadi) inaishia 2015
Hao katika list hawatachaguliwa ubunge 2015 endapo watagombea kupitia ccm. Kama watagombea kupitia CHADEMA watapata ubunge kwani majority ya watanzania kwa sasa wana imani kuwa CHADEMA ndicho chama kitakachowakomboa baada ya ccm kushindwa. Majority ya watanzania wameshaamka. Hawadanganyiki tena...
Hakuna wa kudanganywa hapa na hayo maelezo yako. Mambo yako wazi kwamba JK na CCM waliiba kura ili kushinda uchaguzi wa urais 2010. Uelewe kwamba wanaongoza hii nchi sio kwa ridhaa ya watanzania bali ni kwa wizi wa kura. Washukuru busara za Dr. Slaa. Otherwise TZ ingegeuka uwanja wa vita baada...
Wewe Bigjahman,
Huenda baba yako either ni fisadi au mjumbe wa nyumba kumi wa sisiemu ndio maana bado una wasupport. Good news; mmebaki wachache sana.
Nguvu ya umma (majority of Tanzanian) itawang'oa possibly kabla ya 2015
Napenda kushare na wewe namna ambavyo mimi na wanachama wenzangu wa CDM waishio wilaya ya Temeke-DSM. Katika kata yetu tunafanya vikao mara mbili kwa mwezi. Kikao kinachukua wastani wa masaa 2. Katika kila mkutano huwa unapita mchango wa hiari kwa ajiri ya kuimarisha chama. Maazimio yetu makubwa...
Hali hii haiwezi kuvumilika.
Matokeo ya uchaguzi ya 2010 yalionyesha watu wengi waishio mijini walipigia kura vyama vya upinzani.
I believe watu walioandama na kuwaondoa madarakani marais wa Misri na Tunisia ni wakazi wa mijini. Hivyo hata katika Tanzania watu waishio mijini wanaweza kufanikiwa...
Jemedari Dr. Slaa alikuwa muungwana sana baada ya kuchakachuliwa kura za uraisi. Alitulia. Peoples power tulikuwa tunasubiri Jemedari apulize kipenga, watu waingie mtaani kama Tunisia na Misri. Bahati yao. Warudie tena kuchakachua kura zetu 2015 waone kama nchi itakalika
Brain yako inadhihirisha wazi kuwa wewe ni mmoja wa wale waliopewa fulana na kofia za kijani wakati wa kampeni za kile chama kinachopoteza umaarufu kwa kasi zaidi. Chukua hatua. Jiunge na peoples power!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.