misemo ya vijana wa kileo bwana.,

misemo ya vijana wa kileo bwana.,

Ukiona mwenzio akinyolewa, za kwako weka waves
 
Wasi wasi kama vile wewe ndo mbuzi wa shughuli.....tuliza boli bana.
 
Utaishia kunawa, kula huli!

Ukiona manyoya kaliwa!

Utamu wa pipi mate yako mwenyewe!

Ukitaka ubaya dai chako!

Utaishia kushika pembe, wakamuaji wengine!
 

kisu mzigo silaha pesa
maskini hafulii
mwanaume pesa ndevu hata mbuzi anazo
njaa kustahimili, starehe gharama!
Maskini halali mchana!
Pombe ni pombe tatizo kuyumba
cheza na mshahara usicheze na kazi
mwanamke sura, mwanaume shughuli




kiume pesa kudinda ugonjwa!hata ukioga,harusini huendi
mtoto akililia wembe, ujue vuzi limeshaota !
Pumbu si mzigo.

ukiona manyoya kaliwa!
Utamu wa pipi mate yako mwenyewe

c-r_a-p!
 
Kama kuoga usafi mbona taulo linachafuka?
 
Back
Top Bottom