Jitolee: Jenga CHADEMA Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jitolee: Jenga CHADEMA Morogoro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Feb 21, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kwanza naomba radhi kwa Mods na members wote kwani najua JF haina itikadi ya kisiasa. Kama mjuavyo kuwa CHADEMA katika mikoa kadhaa ya Tz, Moro ikiwepo, bado inajitahidi katika kukubaliwa zaidi. Nawaomba wanachama, wafuasi na wapenda maendeleo wote mkoani hapa na Tz nzima watakaoguswa kujitolea, wajitolee katika kusaidia juhudi za CDM hapa Moro.Kwa sasa ipo mipango kazi miwili ambayo inahitaji michango ya kimawazo, kiushauri na kifedha. Nawaomba watakaoguswa kujitolea katika haya watembelee ofisi za chama mkoa pale mjini au kwa maelezo zaidi wanitumie private message.
   
 2. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tumekupata mkuu. Hongera kwa hilo na tutakupa saport.
  Hakuna kulala hadi kieleweke
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lazima tuubadilishe huu mkoa.
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nashukuru kwa wale waliosapoti na waliorespond. Naendelea kuwahamasisha wengine please.
   
 5. t

  tbetram Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kushare na wewe namna ambavyo mimi na wanachama wenzangu wa CDM waishio wilaya ya Temeke-DSM. Katika kata yetu tunafanya vikao mara mbili kwa mwezi. Kikao kinachukua wastani wa masaa 2. Katika kila mkutano huwa unapita mchango wa hiari kwa ajiri ya kuimarisha chama. Maazimio yetu makubwa ni kuimarisha chama, kufungua matawi mengi ndani ya kata na mipango ya kuwa na ofisi za kuendeshea shughuri za kichama. Tuna mpango wa kuwaita viongozi wa chama wa kitaifa siku za usoni watembelee kata yetu kwa ajri ya kuyafungua rasmi matawi na kuwapa kadi wanachama wapya
   
 6. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu nafikiri kwanza ni uratibu ambao naona unahitajika hapa...... JF inaweza kuwa forum ya michango km hivi, ila ofisi angalau kwa kuanzia..... kwani Moro aliegombea ubunge kupitia CDM hakuwa na ofisi? Inaweza kuwa chachu ya michango mingine zaidi.....
   
 7. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Mjini kubwa, au unamaanisha nini? Tuambie mtaa na jengo zilipo ofisi
   
 8. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  big up mkuu!
   
 9. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu kuna watu wanajitahidi sana ila wanakosa sapoti. Lakini nadhani umeliona hilo na umeshaanza kulichukulia hatua. Kuna jamaa anaitwa Matokeo Owden aligombea jimbo la Mvomero mwaka 2005 na alimchachafya sana Sadik Murad lakini alishindwa kwa sababu alikosa sapoti hasa ya kifedha.

  Mwaka 2010 aligombea tena na alikaribia kabisa kumshinda Makalla wa ccm, ilinishangaza sana kusikia ameshindwa na Makalla, kwani jimbo karibu lote safari hii lilikuwa linamkubali. Nilikuja kugundua kuwa alikosa sapoti ya kiuchumi ambayo ingemwezesha kulinda kura.

  Wabunge wa chadema walioshinda uchaguzi 2010 ni wengi sana. Waliotangazwa kushinda ni wale ambao Nguvu ya Umma Ililinda Kura Zao. Tujiandae kwa 2015.
   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  CHADEMA ina ofisi tayari Mkuu, pale mtaa wa Ngoto.
   
 11. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ipo Mtaa wa Ngoto.. Karibu kabisa na Rainbow Inn.
   
 12. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja mkuu.
  Pamoja tunaweza.
   
 13. I

  Inkognito Member

  #13
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umemsahau kijana machachari na kamanda wa ukweli,mwanasheria aliyemnyima usingizi fisadi abood,namzunguzia kijana Amani Mwaipaja,angekuwa na sapot ya kiuchumi angefika mbali,Morogoro inapaswa kuamka sasa
   
Loading...