Hakuna kundi nchi hii ila kuna watanzania, na huyu mtu mmoja anatoa thread mbili zenye topic moja tumueleweje? ni uchangu au? mkitaka kumjuwa huyu kama ni changu ushaidi ni huu hapa.
muhadhiri![]()
Chadema ni wabinafsi , wabaguzi- waislam![]()
Kila hali inavyozidi kuendelea mapambano ya waislam dhidi ya chadema yanazidi kuongezeka. Jana kulikuwa na kongamano kubwa mjini arusha la waislam kupinga mfumo kiristo wanaodai upo nchini.
katika kongamano hilo na makongamano mengine yanayoendelea ambayo yanarushwa moja kwa moja kupitia redio zao wanakituhumu moja kwa moja Chadema kwamba ni wabinafsi na kinatumikia mfumo huo.wamesema kama kweli chadema inatetea maslahi ya watz kwanini hadi leo haijahoji wakiristo kupewa billion 600 2011 na gov huku madhehebu mengine yakinyimwa?jee huo sio ubinafsi?lakini pia mmoja ya wahubiri alimnukuu mbunge mmoja wa mwanza wa chadema akiapa kwamba shule ya zamani ya kiislam ya mwanza haitarudi kwa waislam jambo ambalo waislam wameliona linazidisha uadui kati ya chadema na waislam
na katika maazimio yao wamesema endapo chadema itajaribu kuandaa maandamano arusha basi na waislam wataandama kujibu mapigo wakati huohuo.
kwa hali hii chadema inaelekea upande gani wa nchi? kwani hata Kigoma tumesikia wananchi wamesema chadema ikiandama nao watajibu mapigo.
lkn kila siku zikienda tuhuma hizi zinazidi, kwani viongozi wakuu wa kiislam hutumia redio zao kuhamasishana kuigopa chadema. kwa mtazamo wa kawaida utaona haina athari kwa chadema, lkn ukweli uliowazi unawjengea picha mbaya kwa jamii ya kiislam.
hii kama viongozi wakuu wa CHADEMA wataona hakitayumbisha chama naamini wanakosea, kwani tayari makongamano yao yanapokelewa na idadi kubwa ya waumini wao ambao wanamchango mkubwa kisiasa
Chadema ifanyeje kukinusuru chama na tuhuma hizi za udini?
Re: Chadema ni wabinafsi , wabaguzi- waislam![]()
Originally Posted by muhadhiri![]()
![]()
nadhani imefika wakati viongozi wakuu wa chadema kujipanga, kuangalia jinsi ya kukaa na waislam kuzungumza nao, vyenginevyo chama kinaelea kufa
Kuna baadhi ya watu wananunuliwa na CCM kwa bei che sana ili tu waongee kuhusu Chadema na wapitie kwenye kivuli cha dini ili alilosema mkubwa wao la udini lionekane kweli lipo!!!
Mtendee haki mtoa mada.
Ushauri wake ni mzuri. CHADEMA kuufanyia kazi ni chaguo lao.
Mimi sioni uchangu katika hizi post mbili.
Post moja ni ushauri na nyengine ni ripoti ya mkutano waliofanya Waislamu.
Hata unaposoma mchango wake ambao nimeweka rangi nyekundu basi una maudhui na hii mada ya Ushauri wangu kwa Dr.Slaa.......
Jaribu kuzipitia tena na ukiona ulikosea basi muombe radhi mleta mada. ndio uungwana na pia kujenga mazingira ya mijadala ya tija. Hata kama hukubaliani na mitizamo ya mleta mada lakini kwa huu ushauri aliotoa kwa maoni yangu ni ushauri mzuri tu.