CHEMPO
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 368
- 59
Wenyewe wanajua hawapendwi ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kwenye mauchaguzi...maana kama umeshika dola kwa miaka 50 tungetarajia watu/wananchi wangekuelewa sana..wala usingetumia nguvu,,,ila kwa kuwa wamejinufaisha wenyewe hakuna mwenye hamu nao..hakuna mtu anaweza kuvaa nguo ya ccm akajisikia fahari kutembea nayo..imegeuka sare ya kulia ubwabwa tu baada ya hapo unavua