Misafara ya JK Kuandamana na Private Ambulance: Picha gani kwa Huduma za Serikali?

Ambulance ni ya Serikali jamani, angalia vizuri, tuachane na ushabiki wa kila kitu siasa.
 
Ambulance ni ya Serikali jamani, angalia vizuri, tuachane na ushabiki wa kila kitu siasa.

inawezekana, maana nshaona magari yana nembo ya UN au USAID lkn STK, Tanzania ya uchakachuaji inawezekana!

...naona wameitoa msafarani. Sjaiona jana na leo. Wamesoma nini?
 
ambulance bado ipo mi nimeiona ikipita....si ya ULTIMATE.....! TUACHE UZUSHI AMBAO HUSABABISHA WATU KUCHANGIA UZUSHI PASIPO KUJUA KUWA WANACHOCHANGIA NI UZUSHI MTUPU NA HAKUNA KWELI HATA CHEMBE....!
 
ambulance bado ipo mi nimeiona ikipita....si ya ULTIMATE.....! TUACHE UZUSHI AMBAO HUSABABISHA WATU KUCHANGIA UZUSHI PASIPO KUJUA KUWA WANACHOCHANGIA NI UZUSHI MTUPU NA HAKUNA KWELI HATA CHEMBE....!

Ni ya wapi kama sio ultimate? Nani ya nini? Mbona marais waliopita hawakuwa nazo hizo ambulensi kwenye misafara?
 
Kazi za Bongo technical know who, ujue hapo kuna ndugu yake anahisa Ultimate security. Hospitali zetu hazina huduma hiyo nguvu zote zimeelekezwa ultimate.

Ultimate Security ni Tanil Somaiya - Ile Ambulance ni ya AAR! AAR wana-flying doctor's services, kwahiyo JK anytime yakimpata yakumpata anakimbizwa Nairobi then South Africa then Uarabuni (kwenye hospitali yake maarufu)!
 
Kiongozi mwenye hili dudu (ultimate security) anaitwa Tanil Somaiya,
Mmoja wa shareholders wa Vodacom, anamiliki Shivacom, kiwanda cha kuchambua pamba (kwa ubia na Christopher Gachuma).
Huyu ndo yule alipaki mashine ya ukweli ikulu wakati mabalozi wameambiwa kupaki mikoko yao kuleeeeeeee baharini kwenye bomba la maji machafu.

Huyu ni mdau wa maendeleo ya nchi yetu maana walisaidia kupata magari na helkopita za jeshi, bila kusahau rada yetu ambayo imeongeza uwezo wa kiintelijensia wa majeshi yetu kama ilivyokuwa kwenye vurugu za Arusha.

Kwa habari ya ambulance pengine amejitolea kutokana na mapenzi yake kwa nchi/rais, serikali inaweza kuwa inachangia gharama za mafuta tu at a token of say 10m per trip si mbaya kihiiiiivyo!

Realman angalia statement zako hizi (Highlighted in blue), mi zimenipandisha jazba sana!
 
Back
Top Bottom