CHADEMA kumbe hotuba ya JK mliipenda, mlitokea nini sasa bungeni ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kumbe hotuba ya JK mliipenda, mlitokea nini sasa bungeni ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Feb 11, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimefurahishwa sana na CHADEMA kuichangamkia na kujiorodhesha kwa wingi kuchangia hotuba ya Rais Kikwete aliyoitoa bungeni, kumbe waliipenda. Hapa sasa nimegundua kuwa kumbe ile hotuba ilikuwa nzuri na muhimu kwa mustakabali wa nchi, na nimeshangaa kwa jinsi CHADEMA walivyo ipenda na kujiorodhesha wengi, ambapo ilistahili wale waliokuwemo siku hiyo bungeni ndio walitakiwa waichangie tu. Siku zingine CHADEMA mkae mumsikilize Rais , mnachangia nini sasa ili hali nyie mlikataa hotuba yake ?. Mmeziba nafasi bure za wale ambao walitakiwa halali kuchangia.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  crap.

  kwani kusikiza hotuba ya mkwere lazima ukae mjengoni?

  mi mbona nilisikilizia baa?
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Tafakari!
  Chukua hatua.
   
 4. M

  Mundu JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Labda wanachangia ili wasilale usingizi kama wale vibabu wa CCM! Kuna kikatuni fulani cha manyani huko zamani kidogo kilisema "don't just sit there, do something"
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  modified brain
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hamkupenda kumsikiliza, sasa tunacho jiuliza kimbelembele cha kujifanya nyie ndio wachangia wakubwa kimetoka wapi? hamkustahili hilo. Hayo ndio mambo ya baniani mbaya ila kiatu chake dawa
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yes Madam !
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
   
 10. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Unaangalia waangapi wa CHADEMA wamechangia au wamechangia nini? Kilichochangiwa ndio kipimo cha ubora wa hotuba ya Kikwete! Hivyo kilichochanagiwa kimeonyesha mapungufu mengi tu, refer to Lema and Wenje contributions.
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mnachangia nini kisicho wahusu ? mmejaza nafasi za watu bure ambao walikuwamo walistahili kuchangia
   
 13. t

  tbetram Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Brain yako inadhihirisha wazi kuwa wewe ni mmoja wa wale waliopewa fulana na kofia za kijani wakati wa kampeni za kile chama kinachopoteza umaarufu kwa kasi zaidi. Chukua hatua. Jiunge na peoples power!
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  the brain behind the rise of morons empire
   
 15. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Jiangalie na unachoandika maaana inaonekana unaandika tu kwa sababu ya ushabiki

  Lazima wabunge wachangie kuonyesha mapunguvu ya rais na dhahiri imeonyesha hotuba ya rais ilikuwa na mapunguvu mengi
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hakuna peoples power hapo , ni kikundi cha wachache wenye uroho na uchu wa madaraka, CDM wasahau kukamata dola hata 2080, acha 2015
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wachangie nini kitu ambacho wao hawakukitaka ? huu ni unafiki na uzandiki wa wazi wazi wa wabunge wa CDM
   
 18. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CHADEMAZ = A group of insane people in Juda , ww lazima ni mmoja wao !
   
 19. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Hivi Mkuu GS ulimsikiliza vizuri Mbowe akitoa taarifa kwa waandishi wa habari siku ile kwa nini walitoka nje? Mbona mnapotosha mambo hapa. Waliamua kutoka nje kutokana na kile walichokiona uchakachuaji wa matokeo ya kura za urais -- na siyo hotuba yake. Dikteta anaweza kutoa hotuba nzuri ya kusifiwa lakini akabakia vile vile -- dikteta!
   
 20. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hata angeingia kwa mapinduzi bado ingekuwa hotuba ya rais,kuchangia ni muhimu
   
Loading...