CDM sasa ni wakati wa oparesheni dagaa

Mtaalaamuna

Member
Feb 19, 2011
21
0
Wana CDM natumaini Tumefanya na tumeona mafanikio ya operesheni SANGARA, operesheni iliyo lenga kupata wanachama katika Miji mikuu na sehemu karibu na miji hii.
Sasa ni wakati wa kuingia ndani zaidi vijijini, kupanda na kushuka milima hadi kule ambako ccm hawajawahi kufika tangu nchi hii izaliwe ili tujipatie umaarufu huko.

Pia mikoa ya Pwani, Ta, Ld na Mtr nako ni kuweka kambi za kwelikweli na kuhakikisha mwka 2015 tuna wakilisha kwa kishindo.

Kwakua operesheni hii inakwenda mbali zaidi na kuleta wafuasi na wanachama wengi zaid napendekeza jina lake au slogan iwe "OPERESHENI DAGAA" Imarisha Chama CDM. :wink2:
 
duh dagaa?? wengi walmependekeza kuwa jina lisibadilike.......operesheni sangara imewakuna sana watu!!
 
For sure Lakini Ni new strategy pia hata likibaki sangara ilenge kwenda vijijini zaidi
 
Wana CDM natumaini Tumefanya na tumeona mafanikio ya operesheni SANGARA, operesheni iliyo lenga kupata wanachama katika Miji mikuu na sehemu karibu na miji hii.
Sasa ni wakati wa kuingia ndani zaidi vijijini, kupanda na kushuka milima hadi kule ambako ccm hawajawahi kufika tangu nchi hii izaliwe ili tujipatie umaarufu huko.

Pia mikoa ya Pwani, Ta, Ld na Mtr nako ni kuweka kambi za kwelikweli na kuhakikisha mwka 2015 tuna wakilisha kwa kishindo.

Kwakua operesheni hii inakwenda mbali zaidi na kuleta wafuasi na wanachama wengi zaid napendekeza jina lake au slogan iwe "OPERESHENI DAGAA" Imarisha Chama CDM. :wink2:

Chadema kwenda kikoa ya Pwani mwa tanzania kama Tanga, Mtwara Lindi, Pwani na hata Dar na kufika mpaka Unguja na Pemba ili chama chao kiwe cha kitaifa si rahisi labda waache Ukanda , Ubaguzi na Udini ndio mtapenya. Kinyume chake Mmeula wa chuya
 
Apo umenena ukwel mkuu waache ukabla alaf na ulaf wa madaraka na uchochez watambue watz hatukuwataka ndo maana 2kachagua ccm,wajpange lbd 2015 walugaluga watawachagua LABDA.....
 
Wewe Bigjahman,

Huenda baba yako either ni fisadi au mjumbe wa nyumba kumi wa sisiemu ndio maana bado una wasupport. Good news; mmebaki wachache sana.

Nguvu ya umma (majority of Tanzanian) itawang'oa possibly kabla ya 2015
 
Chadema kwenda kikoa ya Pwani mwa tanzania kama Tanga, Mtwara Lindi, Pwani na hata Dar na kufika mpaka Unguja na Pemba ili chama chao kiwe cha kitaifa si rahisi labda waache Ukanda , Ubaguzi na Udini ndio mtapenya. Kinyume chake Mmeula wa chuya

tungekuwa tumeula wachuya mafisadi wangehaha hivyo? kwa taarifa yako sio wapenzi wote wa chadema wanahudhuria mikutano chama hiki kinakubalika penda usipende
 
Back
Top Bottom