Recent content by Tamu chungu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada Jinsi ya kujiunga Police kwa sasa

    Bado tunaendelea na uhakiki
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hongereni zoomTanzania kwa maboresho

    Kazi ninayofanya sasa nimeipata kupitia zoom na nashukuru kwa ninacholipwa.Ila to be honest GUI (Graphical User Interface ) ya sasa ya Zoom sijaipenda,ni bora wangekua wanalist tu ajira bila kuweka mapichapicha.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mfanya kazi wa ndani (kulea mtoto)

    Ukifanikiwa kumpata tunaomba usimnyanyase mana kati ya wafanyakazi wanaoongoza kwa kunyanyaswa ni wafanyakazi wa ndani.:):):):):)
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya zisipotoka serikalini mwezi huu hali itazidi kuwa ngumu mtaani

    Pesa nadhani ni tatizo mana utamuajiri mtu halafu utamlipa nini na wengi wetu hatupendi kusikia upuuzi unaoitwa internship
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni ruksa kumtongoza Askari wa kike akiwa ndani ya Sare za kazi

    Tena wakiwa ndani ya sare za kazi mistari ndo inawaingia kiutamu kweli
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hapa nilimjibu vizuri au nilikosea ?

    Ha ha hah....njoo inbobo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hapa nilimjibu vizuri au nilikosea ?

    Habari zenu wadau, Kama wiki hivi imepita kuna Dada mmoja kanifuata inbox kwenye Facebook messenger akanisalimia kisha akaanza kuniuliza maswali kwamba nafanya kazi kwenye Ofisi gani na je nimeoa au nina mtoto na kama hivi vyote bado sijavifanya he nina mpango wa kuoa lini.Nadhani Huyu binti...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mliokua DUCE kwenye Usaili wa mchujo wa TPA pitieni hapa

    Kama hali ndo iko hivyo bora niendelee kuheshimu kibarua changu kinachonipatia mkate wa kila siku mana nilishakataga tamaa na ajira za serikali.
  9. T

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu

    Kuteua gani kusikokwisha
  10. T

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Tumechoka na maigizo....Nape ndo habari ya mjini
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanawake wanapenda kudanganywa

    Kuna dada mmoja alikosea namba kwenye simu yangu sasa tukajenga urafiki wa kawaida mwishowe nikamtongoza lakini aliniuliza kama nina mke au la. Kwakuwa sikutaka baadee aje agundue kama nilimdanganya nikaona nimwambie ukweli kwamba nina mke. Dooooooooh hapo utafikiri ndo nilimuongezea speed ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania SIONI UMUHIMU TENA WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

    Kwa hali jinsi inavyokwenda mifuko ya jamii inaonekana imeshindwa kujiendesha sababu kumuambia mtu aliesitisha mkataba na kampuni aliyokua anafanya kazi kwamba asubiri miaka 55 ndo aende kuchukua mafao yake hii haiingii akirini. Unakuta mtu ameajiriwa na kampuni flani kwa mkataba let say wa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: nahitaji kuanzisha mradi wa betting center

    Una pesha ya kutosha ?
Back
Top Bottom