Ushauri: nahitaji kuanzisha mradi wa betting center

Mkuu Fanya kuwa wakala wa premier betting wanakuwa wanakulipa kwa asilimia ya tiketi za wanunuaji,unachohitaji ni kuwa na wadhamini watatu
 
Dadavua kidogo mkuu
Kama upo mwanza au kanda ya ziwa jamaa wapo karibu na shule ya pamba, ila viambatanisho unavyotakiwa kuwa navyo ni barua kutoka kwa mtendaji wa kijiji ili kuthibitisha kama ni mkazi wa sehemu husika pia andika barua ya kuomba kupewa uwakala wa company yao, barua ya wadhamini wako pamoja na vitambulisho vya kazi wala hawasumbui hata kidogo
 
Vitu kama screen na PC mali ya nani?
 
Vitu kama screen na PC mali ya nani?
Mali yao Ila wewe unakuwa unakuwa unagawana nao percentage kidogo kutoka kwa clients wako,list ya match wanaweza kukutumia kwa email ukaprint sio lazima kuwa na PC
 
SERIKALI IKIMALIZA VITA INAYOENDELEA NAYO YA MADAWA YA KULEVYA, IJE KUPAMBANA NA ULEVI HUU MWINGINE WA BETTING UNAOLIANGAMIZA TAIFA, UNALETA UMASKINI , UKICHAA PAMOJA NA KUSHUSHA UCHUMI WA NCHI.
 
Hata wenyewe wanakusanya mapato unafikiri kuwa wanaweza komesha hili suala kirahisi? Kwanza lipo legal
 
Unataka biashara ya betting au kuwa wakala?? Mbona vijana wa siku hizi mnayumbishwa sana
 
Back
Top Bottom