Hongereni zoomTanzania kwa maboresho

Hongereni zoomTanzania kwa maboresho

Kazi ninayofanya sasa nimeipata kupitia zoom na nashukuru kwa ninacholipwa.Ila to be honest GUI (Graphical User Interface ) ya sasa ya Zoom sijaipenda,ni bora wangekua wanalist tu ajira bila kuweka mapichapicha.
 
sijui watu tupo differ niliitwa interview zaidi ya tano kupitia zoom na nikapata sehemu moja kupitia zoom sa sielew mnaposema ni matapeli
 
Back
Top Bottom