You are very wrong.
Usitafute mtu wa kukulelea mtoto mtandaoni.
Anza na ndugu... japokuwa they are not perfect but its safer.
Ukikosa ndugu tafuta mtu ambae CV ya ke ya kulea watoto inaeleweka na anaweza kuwa traced.
Pia state of mind iwe stable.
Na utakapompata just be good to her. We aren't perfect but be humane.
Akizingatia maneno haya, mwanaye atakuwa safe sana . Otherwise atakuwa ana tale risk kubwa tu.You are very wrong.