Recent content by talumba mkiwa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Picha za Wanataarabu wa 5 Stars waliokufa Morogoro!

    mwenyezi mungu awalaze mahali pema peponi amen
  2. T

    JamiiForums Tanzania First Lady Salma Kikwete

    acheni ongo tuwe wakweli tusisingizie kuhusu `mke wakiongozi wa nchi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rex-Attorney's Kunyimwa kazi za SERIKALI- January Makamba

    jamaa kina rostam ,lowasa na hao vibaraka kuna january walikubaliana na rex attorney kwamba siri kuhusu power of attorney isitolewe hadharani rex wakawapa wajanja waitoe nd hasira imewapanda now waawamaliza mwenye macho haambiwi aone
  4. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni kiona mbali

    kweli mnaomtetea lowasa bado mna akili timamu najaribukuwaza na kuwazia kwani yeye kazaliwa kuwa rais ccm fukuzeni huyu mtu kama hamtaona mabadiliko uande wenu
  5. T

    JamiiForums Tanzania JK kaacha kishindo Dar?

    kawawashia moto RA na EL na l adawi kahojiwa na vyombo vya usalama je mnataka hivyo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ngoyai Lowasa ni fundi wa kutafuta upenyo ktk siasa zilizompenya

    huyu lowasa na ra wote ni hatari wamesimika spika wao na mara ghafla kamati za bunge zimekuwa na nguvu kliko hata mawaziri kulikoni au sababu wenyeviti wengi wa kamati za bnge n vibaraka wao
  7. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima Linahujumiwa

    uzushi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ungeipenda staili gani......!

    wapi mimi nielekezwe nikatengeneze huo wa tatu ili bia isimwagike:A S 20::clap2:
  9. T

    JamiiForums Tanzania Walichofanya polisi arusha ni sahihi

    tuwe wa kweli chadema ni chama makini lakini kwa hili walikosea maana kama wangeweza kuingia kituoni wangechukua silaha arusha pasingekalika maana wenye vurugu kama hizo wezi wenye nia na kuiba silaha wasingekosekana
  10. T

    JamiiForums Tanzania Membe awavaa wanasiasa, wafanyabiashara

    anachosema ni kweli kabisa rostam na magazeti yake wana kazi ya kuwachafua watu wote wanaowahisi kwamba wanataka urais,hivi rostam na kundi lake wakipata huo urais si watatuuza mpaka raia wao. Maana hawa kina membe rostam jk sita lowasa na wengineo ndiyo walikuwa wana mtandao sasa interest...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    du kazi kazi kwelikweli mpaka uvunjiwe yai bichi utaacha mwenyewe
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ndege yaanguka mwanza airport

    tuwe serious je kuna mtu atujulishe kuhusu habari hiyo pili nimepata taarifa mataka karudi tena atcl kulikoni wakati nilipata taarifa nafasi yake imechukuliwa na mtu anaitwa wiliam haji kulikoni mwenye taarifa atujulishe, niliambiwa wiliam alikuwa amelimudu shirika
  13. T

    JamiiForums Tanzania GE2010 Wanajamii forum je mnafahamu kuwa rais bora atatoka ccm?

    du mwandishi una weledi mkubwa ni kweli jf ni chama cha siasa ukimpinga slaa rais wao ujue utatukanwa na kukashifiwa
  14. T

    JamiiForums Tanzania Alex Ndeki (mzungu wetu) tumkumbuke

    kwa kweli nimekumbuka mbali jamani longer wapi siku hizi na ndgugu yetu mkingule nasikia ni kanali wa jeshi makao makuu, longer yuko nmb dsm, maskini thomas ndulute alifariki kama miaka mitatu iliyopit ,nimecheka sana kuhusu hassan musa alianza ufisadi na mwalimu wa usafiri kutulangua tiketi za...
Back
Top Bottom