STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,772
- 555
Siku kadha sasa zimepita katika maeneo mengi gazeti hili halipatikani, nashangaa sana gazeti hili kutokuwepo kwenye meza nyingi za kuwekea magazeti ambayo watu hupita pale na kuperuz then kuangalia ni kipi unachukua.
Katika mazungumzo yangu na moja wa wauzaji amekiri kuwa hawauzi hilo gazeti hadharani kwa kuwa kuna wakubwa wanawaandama wakiona gazeti la TZ daima. Kwa hiyo wanachokifanya ni kuificha lakini mtu akihitaji linapatikana.
eti lengo ni kwa kuwa linabadilisha mtazamo wa watu kwa kuwa linaandika kwa ukweli habari ambazo watu wanapenda. Nawashauri wahusika wa hii gazeti wafanye mpango wa kutafuta wauzaji waliopinda na wazalendo ni hawa wanaotishwa kidogo wanatetemeka.
Kuna muuzaji moja aliniambia yeye hata wangefanyaje lazima aweke juu ya meza na lazima copy moja ibaki kwa ajili ya kudisplay kwenye meza yake hadi jioni.
Naomba kuwasilisha.