First Lady Salma Kikwete

mwacheni ale maisha miaka mnne iliyobaki ni michache asipotesa sasa atajuta
 
first of all you are not Josephine,otherwise prove yourself with vivid photos(ukiwa na mzee) what i know is that there is no divorce with christian marriages particulary catholics! And do not involve God in you adultery life,or u will be practising Blasphemy publically! ushauri wangu wa bure umedhalilisha sana wanawake wa Kitanzania kwa tamaa zako,na kwanini umuache mme wako mungu aliyekujalia,na je mmefunga ndoa na slaa au mnaishi kama masuria?? huoni hilo pia ni chukizo mbele ya mungu

Wacha unafiki kuna circumstance zinaruhusu talaka katika ndoa za kikristu usituongopee kafiri mkubwa wewe.
 
first of all you are not Josephine,otherwise prove yourself with vivid photos(ukiwa na mzee) what i know is that there is no divorce with christian marriages particulary catholics! And do not involve God in you adultery life,or u will be practising Blasphemy publically! ushauri wangu wa bure umedhalilisha sana wanawake wa Kitanzania kwa tamaa zako,na kwanini umuache mme wako mungu aliyekujalia,na je mmefunga ndoa na slaa au mnaishi kama masuria?? huoni hilo pia ni chukizo mbele ya mungu

Wewe mbona haujaweka picha yako? Au unataka aweke akufurahishe wewe? Kwani wewe mke mwenzake hadi akuwekee picha?
 
Ni kweli kabisa ndugu yangu huu mfumo wa wake wengi unatakiwa ufe kuwapa haki akina mama,mi siuupendi na unadhalilisha akina mama,yaani we angalia usiku kucha mama analala peke yake na anajua kabisa jamaa kaaenda kwa bi mdogo kuchakachua inauma sana,hivi ingekuwa kwetu wanaume ingekuwaje mama aolewe na jamaa wawili leo anakuaga ni zamu ya mwenzako,ungejisikiaje,?jibu utakalo pata ndivyo inavyokuwa kwa wanawake,

unanishangaza eti me sipendi kwani umelazimishwa.hiyo ni sheria kutoka kwa mungu na sababu maalum zipo zinazoelekeza kufanya hivyo.kuhusu mwanamke kuolewa na waume wengi halipo kttk uislamu.
nashangaa mtu ana huyo mke mmoja lakini kuna nyumba ndogo ambazo si halali kibao si bora huyo anayejulikana kisheria.
 
...Wanajamvi, hivi first lady wa nji hii yupo wapi?, protokali zinataka Rais aapambatane nae katika ziara anazofanya, lakini ni muda mrefu sasa JK yupo peke yake katika ziara mbalimbali alizofanya recently. Mwanajamvi Anayejua alipo M/kiti wa WAMA atujuze hapa

ili iweje ukishajua alipo? wewe tafuta riziki yako kila siku achana na kufuatilia mambo ambayo hayana tija kwako
 
mara mtoto wa zakia,tena dada wa rostam sasa tena iringa naona tumempata mfalme mswati wa tanzania

Yes!! Muswati ... Hukuona mama Salma pia alichukua ndege kwenda kwa sherehe ya Mswati? Sasa imekula kwake na yeye, ukiua kwa upanga utauawa kwa Upanga!!! Inauma eee!
 
mara mtoto wa zakia,tena dada wa rostam sasa tena iringa naona tumempata mfalme mswati wa tanzania

Acheni maneno ya vijiweni nyie,, mnakuwa kama watu wasiosoma? Kama haonekani itasaidia nini kero za watanzania? Akionekana naye kila mahali,,taaabu,, ooh jamaa na mkewe wanatumia pesa za wananchi kujirusha. Asipooonekana,, hiyo nayo nongwa!! Ninyi mna roho za aina gani?? Typical uswahili.
 
mara mtoto wa zakia,tena dada wa rostam sasa tena iringa naona tumempata mfalme mswati wa tanzania

ana wanawake wengi na watoto nje ya ndoa. Hvi unajua hata vicky kamata demu wake? Na kazaa nae tangu 2006? Pia tetesi hata beatrice mkwasa ashampitia. Kwa ufupi jamaa hafai, na ndio sababu anashirikiana na mafisadi apate cha juu kuendeshea familia zake. Mi nikisikia kamteua mwanamke kushika nyadhifa flani hua naogopa, hatoagi bila kuchakachua. In short hakuna mwanamke mzuri hapa bongo anaemtaka atashindwa kumgonga. Afu ole wako uzuie, kamuulize liyumba na babu seya
 
...wanajamvi, hivi first lady wa nji hii yupo wapi?, protokali zinataka rais aapambatane nae katika ziara anazofanya, lakini ni muda mrefu sasa jk yupo peke yake katika ziara mbalimbali alizofanya recently. Mwanajamvi anayejua alipo m/kiti wa wama atujuze hapa

sure, hata mie nashangaa!
 
Huyu mkwere ni balaa! Walitia umbeya juu ya slaa kumbe yy nizaidi! Taarifa za chini ya kapet zinasema yule bwana aliyejifanya ni mume halis wa demu wa slaa ni shoga ndiyo maana aliachwa na mkewe. Kuna mwenye ukweli zaidi?
 
ADB kuunganisha nchi tatu kwa reli


Source: Tanzania Daima


BENKI ya Maendeleo ya Afrika (ADB), imesema itazisadia serikali za Tanzania, Rwanda na Burundi katika mradi wa ujenzi wa reli ambao uko kwenye ratiba ambao unatarajiwa kuanza muda wowote.
Mradi huo utahusisha ukarabati na upanuaji wa njia ya reli kutoka jijini Dar es Salaam hadi Isaka, na Isaka hadi Kigali/Keza, Kigali hadi eneo la Gitega na eneo hilo hadi Musongati.
Taarifa iliyotumwa jana kwenye vyombo vya habari na kusainiwa na Mkurugenzi wa ADB, Zoe Molapisi, ilisema ADB imekuwa sehemu katika mradi huo tangu mwanzo wake ambapo fedha zinazotolewa zimetumika kwa ajili ya masomo yakinifu ya mradi huo.
Ingawa ADB ilisema itazisaidia nchi hizo katika ujenzi wa reli haijaweka wazi ni kiasi gani cha fedha ambacho kinatarajia kutoa ili kuwezesha mradi huo kukamilika.
Ofisa Mkuu wa Uwekezaji, Sekta Binafsi ya Miundombinu wa ADB, alikaririwa akisema kwenye taarifa hiyo kwamba miundombinu imekuwa ni changamoto kubwa katika miradi ya maendeleo katika nchi za Afrika.
“Miundiombinu hafifu inarudisha nyuma maendeleo ya uchumi wa Afrika kwa asilimia 2 kwa mwaka na kurudisha uzalishaji imara kwa asilimia 40,” alisema.
Aidha taarifa hizo alimnukuu Rais Jakaya Kikwete akisema kwa kutumia mikataba hiyo, mradi wa ujenzi katika nchi hizo tatu utakuwa endelevu.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo Nalikka alikaririwa akisema takwimu zinaonyesha kwamba mradi huo ni wa umuhimu kati ya nchi hizo tatu.
Alisema ADB inafurahi kusaidia serikali za Afrika kuwezesha mazingira bora kwa ajili ya sekta binafsi na kuboresha miundombinu muhimu ikiwemo ya udhibiti na kuendeleza kisheria.
Alisema ushirikiano baina ya umma na sekta binafsi (PPP’s) ni jambo muhimu, hivyo ADB inaratajia kuangalia mbele zaidi katika kukamilisha mradi huo wa reli.
 
haya mambo mi nadhani ni personal, sisi tunataka kikwete atuambie kwanini anamsumbua magufuli?!!!

sisi wewe na nani? Count me not, kibanda changu cha urithi kule mikese kilishakula mkasi, kiko mbaaaaali!
 
Kashanga ,Young man

Naomba nikueleze leo kwamba,Mimi ndiye Josephine Mke wa Dr Slaa.

Kwa akili zangu timamu nilimuacha aliyekuwa mume wangu kwa sababu maalum hata kanisa halikuweza kunizuia.Sasa wewe ni nani leo uendelee kumuhukumu mtu kwa maamuzi yake mwenyewe?Na mwizi hata siku moja hatoki hadharani huoni unajidhalilisha mwenyewe.

Nakuomba jambo moja kama kweli hujawahi kutenda dhambi au huna dhambi basi uwe wakwanza kunirushia jiwe mimi na Dr Slaa.

Kama Kanisa limekaa kimya juu ya maamuzi yangu,Kanisa liloshuhudia kiapo changu you are no body to point on us now and ever since we have done everything accodingly,and that's why even the court could not intervene.

For your information the marriage is always between two hearts before the public witness it.

My God whom i believe is a God of Praise and Worship,and ever the Lonely and breaking heart will never Praise and worship God.I choose the life i am, so that i should keep on Praising and Worshiping God and My God is happy with us.

I have written this to let you know that We are Happy in our present marriage no one have the right to judge us within this world not even the Law,except God alone who has already forgiven us and accept us afresh.

Josephine my dear!

I have no many words but I feel responsible to preach the gospel, kukanya pale inapotakiwa kupongeza ninaposhuhudiwa yote haya bila unafiki lakini kwa staha bila kuaibisha ama kuvunja moyo. Niko na ninyi katika yote mema lakini katika dhambi sintashiriki maana inanipasa kuwa mwaminifu mpaka kufa. You got married to a man which I believe wewe ndiye ubavu wake (maana uliapa hivyo kwenye madhabahu ya Mungu) ukawa na watoto naye which means you have even a blood convenant, kama utanisikiliza mumeo yuko hai hajafa na alichokiunganisha Mungu mwanadamu katu hatakitenganisha you being one amongst hao binadamu. Sheria za kibinadamu na sympathy zote haziwezi kuondoa ukweli wa Mungu. Kama kulikuwa na tatizo neno la Mungu liko wazi ukae ulivyo wala usimjue mume mwingine tena na yeye asimjue mke mwingine mpaka Mungu awatenganishe (kifo cha mmoja wenu) kwani mkifanya hivyo mnazini. Najua nitashambuliwa na JF wote lakini ninakubali kuwajibika kwaajili ya kristo ninakuomba ukae tena chunguza moyo wako neema ya Mungu itakufungua nawe utaijua kweli. Ni bora upoteze heshima ya dunia hii lakini uiokoe roho yako na ya mtu umpendaye ambayo itabaki milele. God bless you!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom