Ndege yaanguka mwanza airport

Hayo ni maandalizi ya "KUTANGAZA" matokeo ya uchaguzi! Ukipita hata Lugalo Barracks kuna "DRILL" kali sana inaendelea, hata kule Kunduchi nimeona RECRUIT wakiendelea na mazoezi ya kufa mtu!

Kuna police wengi wapya (uniform at least ni mpya) wameletwa kwenye vituo vyote vya police Mkoa wa Dar es Salaam!
 
tuwe serious je kuna mtu atujulishe kuhusu habari hiyo pili nimepata taarifa mataka karudi tena atcl kulikoni wakati nilipata taarifa nafasi yake imechukuliwa na mtu anaitwa wiliam haji kulikoni mwenye taarifa atujulishe, niliambiwa wiliam alikuwa amelimudu shirika
 
ajali na mataka wapi na wapi jamani!!
nikusaidie kidogo william was Acting CEO,akimsaidia mataka amalize jukumu lake NIC ninachojua,swala la kumudu ama kutomudu hilo naomba nisichangie,ila kumbuka mpaka lilipo william alikuwepo pia so sidhan wakati wa kunyossha mikono..turudi kwa mada kuna ajali ama n drilling emergency ya Tcaa
tutashukuru mwenye kuwa na taarrifa kamili
 
Nimepata taarifa hizo na zina ukweli kwani nimesikia ambulance nyingi sana nikiwa home so tutapata uhakika zaidi ya idadi ya walio fariki baada ya makamanda wa polisi kutoa taarifa baadae jioni
 
Hayo ni maandalizi ya "KUTANGAZA" matokeo ya uchaguzi! Ukipita hata Lugalo Barracks kuna "DRILL" kali sana inaendelea, hata kule Kunduchi nimeona RECRUIT wakiendelea na mazoezi ya kufa mtu!

Kuna police wengi wapya (uniform at least ni mpya) wameletwa kwenye vituo vyote vya police Mkoa wa Dar es Salaam!

Mgambo wa City/Lukuvi wamevishwa uniform za Polisi...siyo Polisi wa kweli bali makada wa CCM
 
Ni vikosi vya Polisi, Jeshi, Anga, Zimamoto na Hospitali vilikuwa katika zoezi maalum la uokoaji pindi inapotokea ajali ya ndege. Binafsi nimefika eneo la tukio na kuona hiyo hali ya ajali ya ndege feki.
 
Nimepita chumba cha habari cha kampuni moja ya habari na kudadisi juu ya huo uvumi na jibu ni kuwa jamaa wapo kwenye emergency drill. kama huwa unapata bia nenda kajipatie bia yako, don't crack your brain.
 
Back
Top Bottom