Recent content by syliacus

  1. syliacus

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa viwanja + vifaa vya ujenzi

    Kwa mfanyakazi mnafanyaje mpka apate uwanja,
  2. syliacus

    JamiiForums Tanzania Viwanja Chanika 2.5ml

    Vina ukubwa gani kiongozi?je miundombinu VP,in case ya barabara,maji,na Huduma nyingne muhimu za kijamii,asante
  3. syliacus

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi wa nyumba vyumba vitatu(3)

    Milion tano bdo hata kwa boma haitoshi hata kma unatumia garama za chini kabsa in case ya mafundi na material bdo kiukwel sababu nyumba ya vyumba 3 lbda kma ni mgongo wa Tembo na chenji itabaki
  4. syliacus

    JamiiForums Tanzania Ulikua baba au mama katika umri gani?

    Ni kosa kubwa mungu kukujalia mtoto hata hutarajia unasema bahati mbaya mm siwezi jpo nilizaa nipo chuo mwaka wa tatu watu. Walinishauri vbaya but nilihaso na mwanangu pamoja na mama yke mpka nikapata kazi serikaln na sasa namfurahia mtoto Wangu wa kiume kinyama, jpo sikupanga mpka sasa Nina...
  5. syliacus

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wakubwa zangu

    Habari wakuu ,mm ni mgeni katika uwanja huu wa JF,but nakuja na swali VP hili website ya KUPATANA ni nzuri au imejaa utapel,natanguliza shukran wada,nawaheshmu SNA na ninamiin tutajengana kifira zaid
  6. syliacus

    JamiiForums Tanzania Sina ajira, naombeni mbinu ya kujenga "network" na watu wa makazini

    Nenda kwenye NG,os kajitolee bure hata kwa miaka miwili ,utaajiriwa ,mm hii imenikuta. Kwa kufanya ivo but walio wengi huwa hawawez coz sometime unaweza usilipwe hata miez mitatu,wakawa wanakusoma umakini wako,so ni alternative mojawapo wa kuwa kwanza na experience,na hata kma hautoajiliwa but...
  7. syliacus

    JamiiForums Tanzania Bei ya bati kwa bei ya agent,njoo ununue kiwandani

    Kwa mita ni nzuri kulingana na mwezeko wa nyumba yko hasa hzi za kisasa,pia sometime inasaidia kupungza garama,lkn ukinunua but zima kwenye ukataji huwa inauma SNA ,so through measurement unakuwa kwenye bajet kamili
  8. syliacus

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Hapo mpka ufanye kwanza research kwa watu wanao Fanya biashara za mikoan but mm huwa nauzia hapahapa na inanilipa, japo kuwa mda mwingi nafanya shughuli za kiserikali.
  9. syliacus

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Njoo Sumbawanga wadau tupo na mm siyo dalali utapata mzigo
  10. syliacus

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa

    Aise nimepata idea kuwa SNA kwa upande wa uchumi be blessed mtoa mada
  11. syliacus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani wapendwa naomba mnipe procedures zote unapotaka kubadilishana na MTU kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja hadi mwingne,asante,na karibu,natanguliza shukran wana jf
  12. syliacus

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina ya wanachuo wanaorudi kusoma stashahada maalum ya ualimu (UDOM)

    Hatari SNA,ni vizuri zaidi coz tunahitaji elimu bora na si bora elimu
Back
Top Bottom