Bei ya bati kwa bei ya agent,njoo ununue kiwandani

uta

Member
May 1, 2012
54
24
Bati aina zote rangi upandayo,kofia,na misumali.kwa bei ya kiwandani.okoa garama,jenga kwa kununua bati kiwandani.
52707f00263a9e709e99c5027dc68c7a.jpg

It 4&it5(migongo mikubwa) gauge30 @8000 kwa meter
8929876607ff4d4e8f64e38cbc212c85.jpg

It 4&it5(migongo mikubwa) gauge28@9500 kwa meter
c5ba8df9551b1decf154e935db4a7c04.jpg

Versatile (za mikunjo) gauge30@10800 kwa meter
Gauge28@12000 kwa meter
5f255716c8cf74b60eba503dcef47576.jpg

Corrugated(migongo midogo) nyeupe bundle@205000=16 pieces gauge30
55cc60b3a220e61bc0acfa1cf5305b8f.jpg

Za rangi migongo midogo gauge28 meter@9000
Gauge30@7500 kwa meter
f8c975231e92f35137850cd911bd4a61.jpg

Misumali 1kg 8000
c3dc6952cfb16f73e248dbbac5e28de8.jpg

Kofia 12000@1piece=3meter
Buguruni
 
wakuu mimi nachanganyikiwaga, hv kwanini hawa wanauza mabati wanauza kwa mita kwanini wasingekuwa wanauza kwa bati moja moja, je kwa mita sio kama wanamuumiza mteja..
 
  • Thanks
Reactions: uta
Kwa mita ni nzuri kulingana na mwezeko wa nyumba yko hasa hzi za kisasa,pia sometime inasaidia kupungza garama,lkn ukinunua but zima kwenye ukataji huwa inauma SNA ,so through measurement unakuwa kwenye bajet kamili
 
wakuu mimi nachanganyikiwaga, hv kwanini hawa wanauza mabati wanauza kwa mita kwanini wasingekuwa wanauza kwa bati moja moja, je kwa mita sio kama wanamuumiza mteja..
Siku hizo fundi anapima juu vipimo kamili kila kona hakuna bati ya kutupa wala kukata zote zinakatwa kiwandani,ukisema liuzwe bati zima ,hilo bati zima ni la urefu gani tutatumia maana ata hili la zamani la 10ft-3meter ni waru walijiwekea tu ila halihusiani na kuwa ndo bati zima,siku hiz watu wanataka ata la urefu wa 6meter kulingana na nyumba yake so kuuzwa kwa meter ndio sahii ili usipoteze bati chini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom