Viwanja Chanika 2.5ml

ricostrong

Member
Nov 15, 2016
43
6
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shighul nyngne za kimaendleo vinapatkana kwa ukubwa wa kwanzia 15/15,20/20,20/40m..etc
Kwa maongez zaid contact 0656 698232
 
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shighul nyngne za kimaendleo vinapatkana kwa ukubwa wa kwanzia 15/15,20/20,20/40m..etc
Kwa maongez zaid contact 0656 698232
Hio 20m x 40m bei gani mkuu au zote ni 2.5ml. Pia ni Chanika ipi?
 
Mimi pia Nina viwanja Chanika majumba sita-homboza bei 3.5..mkijiunga watu watano mkachukua as a group punguzo lipo kubwa sana...na shida this time ndo maana nauza..nicheki watsp na call through 0756761698
Vina ukubwa gani kiongozi?je miundombinu VP,in case ya barabara,maji,na Huduma nyingne muhimu za kijamii,asante
 
Vina ukubwa gani kiongozi?je miundombinu VP,in case ya barabara,maji,na Huduma nyingne muhimu za kijamii,asante
Maji yanapatikana na Umeme ipo karibu mkuu..pamejengeka sana..kama uko serious tafuta siku ukatembee...Mimi nna shida ya hela kuna issue nataka kufanya ndo maana napauza otherwise nisingepauza hata kwa dawa
 
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 8. Karibuni pm tufanye biashara.

Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 4,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa 8m au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom