Ulikua baba au mama katika umri gani?

Binafsi nikiwa na miaka 22 tulipanga na mwenza wangu uwezi amini mwanangu nampenda sana ata enjoy maisha yake yote atojutia
 
Toka nilipomjua mwanamke nilikuwa natamani mwanangu wa kwanza awe rafiki yangu tuje kushirikiana kwa ukaribu zaidi so nilipata kijana wangu nikiwa na miaka 23 na sasa hivi ukituona nikikwambia huyu ni mdogo wangu uwezi kataa na tunaenda sawa kwenye mambo mengi sana sijawai jutia
 
Ni kosa kubwa mungu kukujalia mtoto hata hutarajia unasema bahati mbaya mm siwezi jpo nilizaa nipo chuo mwaka wa tatu watu. Walinishauri vbaya but nilihaso na mwanangu pamoja na mama yke mpka nikapata kazi serikaln na sasa namfurahia mtoto Wangu wa kiume kinyama, jpo sikupanga mpka sasa Nina miaka 29
 
At 23 nikamnasisha mtu, kabnt miaka miwil,, ila.ni zawad nisiyoijutia mana imenifanya niwe tofaut
 
@ 21 nilipata kidume nikiwa chuo mwaka wa kwànza sijawah jutia aisee maana bum ilibidi litumike vzr sijawahi jutia
 
At 19 ilinisimbua sana ..lakini ilinipa hasira ya kupiga kitabu zaidi.Binti mkubwa tu sema mama yake aliolewa na basha mwengine
 
Back
Top Bottom