I wish gharama za ujenzi zingekuwa hivi. Kila mtanzania WA "kijijini" angekuwa na nyumba. Nilichokiona kwenye huu uzi watu mna utani sana kwenye mambo ya msingi.
Mfano kwenye hii hesabu una assume nyumba inajengwa na Red Cross! Hakuna gharama za Fundi. Materials ziko site..mbao, cement nk. Hujaweka gharama ya maji, majembe, na vifaa vinginevyo.
Mimi niko kwenye ujenzi kwa Sasa. Ila nikiona hesabu za kusadikika kama hizi ndo nagundua kwamba wengi kwenye hii thread ....in wapiga porojo.
Hata million 30 haikupi nyumba ya "kawaida" Wallah! Iam in this game. So I know what iam talking about.